Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,513
- 2,196
RAIS SAMIA AVUNJA REKODI YA MIAKA YOTE AKIBA YA FEDHA ZA KIGENI, YAFIKIA DOLA 6.4BN NA DHAHABU TANI6.7, HAIJAPATA KUFIKIWA!
===
Tangu Rais Samia aingia madarakani akiba ya fedha za kigeni imeendelea kuwa ya kuridhisha kukidhi mahitaji ya uagizaji wa bidhaa na huduma nje ya nchi. Hadi kufikia July 2025, kiwango cha akiba ya fedha za kigeni kilifikia $6.4bn sawa na TZS 16.7 Trilioni pamoja na Tani 6.7 za Dhahabu sawa na $719M au TZS 1.9 Trilioni zinaifanya Akiba kufikia TZS19 Trilioni.
Wakati Mwaka 2020 kulikuwa na akiba ya $4.8bn sawa na TZS12Trilioni.
Watanzania Oktoba Tunatiki✅