Boss wangu simuelewielewi!!!

kha! mbona mawazo yko yamekimbilia mbali sna, hauna kingne positive cha kuwaza, labda anataka umsaidie kupata kazi na ww uwe guarantor wke
 
Hili ni kwa kila mama ambaye hana wazo na kijana aliyemuona ni mchapa kazi na mwenye uwezo wa kujiendeleza. Lazima atamani kabinti kake kaolewe na mtu kama weye.
Sasa, anafanya kila hali awezayo ili akudroo attention angalao umwone huyo mtoto wake. Ndo maana mara alisahau kuacha pesa hapo, akitaka kitu hiki kimfikie atakuomba kuwa yuko bize msaidie kumpelekea mwanaye. Yaani huko ni kukufanya weye umwone binti yake tu.
Angalia, siku hako kabinti kanapopita hapo ofisini, lazima kawe smart sana na tabasamu la haja. Hiyo ndiyo advertise ya mamkwe. Sasa weye kijana kama unataka kupanda cheo haraka sana, chukua huo mzigo, peleka nyumbani kwako kajipakulie mwenyewe. Mambo ya ofisini mwachie mamkwe atamaliza mwenyewe.
Nakuhakikishia mamkwe atajiuza kwa mabosi mpaka uonekane upandishwe cheo mara 4 kwa mwaka. Usiogope, chukua mzigo. Unafanya benki, hivyo unajua biashara; Jiulize, Ungekutana na mizigo 2 sokoni ungechagua biashara gani kati ya machungwa na ndimu? Yote jamii moja lakini machungwa yataisha haraka na faida utaiona haraka.
Achana na feelings angalia faida ya pesa chap chap na maisha laini.
 
kk kama mtoto yuko poa chunguza nyendo zake akiwa poa weka ndani kila kitu kipo wazi hapo hakuna mzazi asiyependa mwanawe aolewe na mtu anayejielewa kk
 
Vipi huyo mama analipa lipa? Nakushauri anza naye yeye
kweli wewe Lihove....Any way sioni kama mtu mzima anahitaji ushauri wa ninicha kufanya....Halafu haya mambo ya kuja kueleza mikasa mizima na sehemu mnazofanyia kazi utadhani mabosi wenu hawaingii JF....Mtakuja kupoteza kazi bure
 
Last edited by a moderator:

wewe kwanza ungetakiwa utueleze sisi supply and demand yako ikoje katika huyo binti..!

then, naweza kukushauri!
 
Gonga halafu sepa, kwani lazima uoe bana...

Ushauri wa xmass huu... Tehe tehe tehe...

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Binti kila akipita ofisini kupitia mkwanja wa kwenda kujichana na kumkosa mama yake/Boss wako hunwambia, "leo nilipita ofisini kuja kukuomba pesa ya msosi lakini hukuwepo, nikaenda kumuomba Cruel Mpole akanipatia." Sasa huyo Boss wako atakuwa na subordinates wengi chini yake kitendo cha binti yake kuja kwako kuomba pesa na si kwa mwingine yeyote hapo ofisini kwako kimemuonyesha mama labda kuna kitu nyuma ya pazia kati yenu, na si ajabu Binti kishamtonya mama yake, "mimi namzimia sana yule kijana." Hivyo Boss kaamua kuingia mtamboni kumsaidia binti yake ili wakuongeze kama member of their family. Kama binti kakolea na unaona ana tabia ambazo unazikubali basi chakarika kivyakovyako, kila la heri.

 
... mimi naona MANYOYA tu hapo, kwa mbaaaaaaali lakini.
 

Weka picha mkuu
..
 
Cruel mpole...we mtu zima na unajua lengo hasa la huyo mama,japo nimeshindwa kuelewa inakuaje watumishi wa benki walivyo wengi we ndo ujitutumue kila mara kumpa binti pesa ya matumizi????
Tuyaache hayo,Mimi nakushauri kama humfeel binti punguza mazoea nae pamoja na ya mama yake(Mahusiano na mamayawe ya kikazi tu.Lakini pia ikitokea unamdate binti naona mahusiano yako na mama kikazi yatakua hatarini endapo utakwaruzana na binti yake coz mama kisasi atahamishia kwenye kazi.Be careful and be wise brother .
 
AF hii story mbna km inarudiwa humu? We hujawah mwambia boss wako that upo single?? Nways achana na mawazo ya kupigiwa debe inawezekana mama wa watu hat wazo hilo hana. Just concentrate kwny kazi zako n be serious with yo deeds
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…