Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 895
- 2,218
[emoji1787][emoji1787]Nchi za Afrika (Kusini mwa jangwa la Sahara) ni Maskini kwa sababu tunaendekeza utombanaji maofisini. saa za kazi tunawaza mapenzi tu. Tofauti Na wenzetu wahindi, wachina na Wamarekani hawana maskhara kabisaa maofisini saa za kazi
Kuna ujumbe hapa usikilizweYaani members mlichokua mnanishauri kuhusu kumpenda boss wangu kumeanza kunitokea puani. Yaani since nime have sex nae Ana act weird leo ananipenda kesho ananipotezea na haishii hapo anaongea na staff wengine wanawake kimahaba ilimradi tu niumie, na Mimi nilishamwambia kuwa nachanganyikiwa ukiwa unaongea na wanawake wengine kiasi kwamba nashindwa kufocus kwenye kazi zangu.
Anajibu Basi nitapunguza kuja kazini. Na kuna huyo muhasibu Naona anampenda boss sana, na nilimuuliza boss wangu kuhusu huyo mwanamke akasema hawezi kutembea na yule, lakini yule mwanamke anavojishobokesha kwa boss mpaka roho inataka kunitoka yaani namchukia kupita maelezo sema tu na keep calm coz pale ni kazini.
Yaani hapo kazini napaona kama kituo cha polisi jamani, hapa nshaanza kutafuta kazi sehemu kwingine ili ni move on na ni Achane kabisa na boss wangu.
Hahahaha aisee polee
Muandiko wa mwanaume.
Anyway, turudi kwenye uzi.
Hutaki azungumze na wafanyakazi wengine? Maelekezo utawapa wewe?
Hebu tulizana.
kabisaaaSeason inayofata, "Nimepata Mimba ya Boss, nifanyaje?"
Wewe kwenye ule uzi wako ulisema unataka hit and run, ila sio mahusiano,
Sasa imekuaje tena[emoji23]
Yaani members mlichokua mnanishauri kuhusu kumpenda boss wangu kumeanza kunitokea puani. Yaani since nime have sex nae Ana act weird leo ananipenda kesho ananipotezea na haishii hapo anaongea na staff wengine wanawake kimahaba ilimradi tu niumie, na Mimi nilishamwambia kuwa nachanganyikiwa ukiwa unaongea na wanawake wengine kiasi kwamba nashindwa kufocus kwenye kazi zangu.
Anajibu Basi nitapunguza kuja kazini. Na kuna huyo muhasibu Naona anampenda boss sana, na nilimuuliza boss wangu kuhusu huyo mwanamke akasema hawezi kutembea na yule, lakini yule mwanamke anavojishobokesha kwa boss mpaka roho inataka kunitoka yaani namchukia kupita maelezo sema tu na keep calm coz pale ni kazini.
Yaani hapo kazini napaona kama kituo cha polisi jamani, hapa nshaanza kutafuta kazi sehemu kwingine ili ni move on na ni Achane kabisa na boss wangu.
aidha uachane nae, au uwe single mother.Siku zinavozidi kwenda ndo najikuta na catch feelings ata nikijizuia
Nchi za Afrika (Kusini mwa jangwa la Sahara) ni Maskini kwa sababu tunaendekeza utombanaji maofisini. saa za kazi tunawaza mapenzi tu. Tofauti Na wenzetu wahindi, wachina na Wamarekani hawana maskhara kabisaa maofisini saa za kazi