roxna
Member
- Jul 24, 2012
- 66
- 64
Habari zenu wana Jf,
A friend of a friend amepatwa na hili nikaona sio mbaya kuja kushare nanyi.
Alikua anaitaji uhamisho wa kikazi ndani ya wilaya kwaio akaandika maombi na akafanya process zote ikawa bado tuu kupitishiwa na boss huyo shida ikaja alipoenda kwa huyo boss wake akamwaga mboga kuwa anataka kidude!Akampa mda aende alafu amtafute ampe jibu kupitia uyo rafiki nikamshauri si vyema kujitoa utu wake kwa ajili ya kushift sehemu tu ts not worth and ni kujishusha sanaa tu.
Sasa kesho ndo miadi imetimia ya yeye kumpa jibu uyo lidubwana cha uroho alichohamua kumjibu ni hivi "nikamheshimu sana boss wangu kama mzazi wangu sitoweza kufanya hivyo maana nitakuwa nimekukosea heshima "
Binafsi nimeona kama jibu bado halikati maini vizuri ya afisa uyoo yani something is missing ivii,ndo mana nimelileta kwenu ili kupata mawazo yenu jinsi gani ya kumpa jibu ambalo halitoathiri uhamisho wake wala kumshusha boss wake na kujisikia vibaya na kuepuka kupelekea kujenga chuki juu yake ilo jibu linatakiwa liweze kushusha uroho wake ajabu ajabu kama fisi.
"Kutojitoa utu wake ili aweze kusaidiwa" it's my thought,whats yours?
Karibuni experties wa maneno yenye tiba