"but reliable sources indicate that mismanagement of resources and failure to contain financial leaks could be behind the sacking. "
While RwandAir has not started making profits yet, there have been reports of financial losses, with a reliable source indicating that an internal probe unearthed missing funds up to the tune of $2 million.
(Sisi kwetu tunalia tunataka FAIDA kwa Miezi minne tu, Du!!! watz tunatabu)
Handsome profit in the first quarter, what a joke!! Ni lini zime-break even mpaka uanze kuhesabu profit?Tuko sahihi.
Financing Model ya midege yetu sio kama yao.
Our air ships are bought in cash, and I believe their position in the airline balance sheet is not interest sensitive.
They should have reported handsome profits in their first quarter of operation.
Kwani wana cost burden ipi hata usitegemee handsome profit 1st quarter?Handsome profit in the first quarter, what a joke!! Ni lini zime-break even mpaka uanze kuhesabu profit?
"but reliable sources indicate that mismanagement of resources and failure to contain financial leaks could be behind the sacking. "
While RwandAir has not started making profits yet, there have been reports of financial losses, with a reliable source indicating that an internal probe unearthed missing funds up to the tune of $2 million.
(Sisi kwetu tunalia tunataka FAIDA kwa Miezi minne tu, Du!!! watz tunatabu)
Kwani walichukua bure hizo ndege? Hebu acha ubishi, simamia ukweliKwani wana cost burden ipi hata usitegemee handsome profit 1st quarter?
Kabla ya ile midege kuja kulifanyika layoff kubwa sana ya wafanyakazi.
Ile midege hawajakopa hata wawe na interest expense kwenye balance sheet yao.
wasitengeneze profit kwa gharama zipi walizonazo?
kwahyo jamaa anasema kwa kuwa wamenunua cash kwahyo kinachopatikana faidaKwani walichukua bure hizo ndege? Hebu acha ubishi, simamia ukweli
Faida itapatikana kwa mipango, kuhusu kuyumba kwa uchumi sijui tunaangalia indicator zipi. Kweli pesa mifukoni mwa raia zimepungua kwa sababu ya kuzuia pesa nyingi chafu kwenye mizunguko, pia pesa nyingi kuwekezwa kwenye economic stimulators ambazo ni miradi mikubwa ya infrastructures muda sio mrefu zitatoa matokeo na Hali itakuwa Sawa.Sasa wewe unadhani faida inatakiwa ianze kupatikana lini!? Baada ya miaka 10!? Watu hawana pesa kutokana na kuyumba kwa uchumi matokeo yake ndege zinasafiri zikiwa na abiria wachache kwa hali hii hata kwa miaka 20 faida itabaki kuwa ni alinacha tu.
Faida itapatikana kwa mipango, kuhusu kuyumba kwa uchumi sijui tunaangalia indicator zipi. Kweli pesa mifukoni mwa raia zimepungua kwa sababu ya kuzuia pesa nyingi chafu kwenye mizunguko, pia pesa nyingi kuwekezwa kwenye economic stimulators ambazo ni miradi mikubwa ya infrastructures muda sio mrefu zitatoa matokeo na Hali itakuwa Sawa.
Planners wa shirika lazima waje na strategies za scenario zote za kibiashara sio case ya wateja wengi tu. Na kama wamepungua kiasi cha ajabu ningeshangaa wao kupata revenue ya 9Bil. Hakuna biashara isiyo na changamoto ila naamini CEO wa atcl ni mtu makini atatuvusha na kurudisha faida kwa wakati....
Yaani jambo usilolijua ni kama usiku wa gizakwahyo jamaa anasema kwa kuwa wamenunua cash kwahyo kinachopatikana faida
Wewe unaonekana hujui lolote juu ya biashara. Hawa watu wamepewa ndege zisizo na terms za madeni.Yaani jambo usilolijua ni kama usiku wa giza
Mipango ipi?Faida itapatikana kwa mipango, kuhusu kuyumba kwa uchumi sijui tunaangalia indicator zipi. Kweli pesa mifukoni mwa raia zimepungua kwa sababu ya kuzuia pesa nyingi chafu kwenye mizunguko, pia pesa nyingi kuwekezwa kwenye economic stimulators ambazo ni miradi mikubwa ya infrastructures muda sio mrefu zitatoa matokeo na Hali itakuwa Sawa.
Planners wa shirika lazima waje na strategies za scenario zote za kibiashara sio case ya wateja wengi tu. Na kama wamepungua kiasi cha ajabu ningeshangaa wao kupata revenue ya 9Bil. Hakuna biashara isiyo na changamoto ila naamini CEO wa atcl ni mtu makini atatuvusha na kurudisha faida kwa wakati....
Mkuu mimi siamini ktk utabiri au ubashiri . Bunge limekoswa pesa sijui kwa nini na pande zote mbili mtoa pesa na mpokea pesa sijawasikia. Mara ya mwisho ni report ya world Bank kuhusu economic updates ya Tanzania ndio maneno au idea kama hizo nilizokupa zilisemwa na hii ilikuwa may 2016. Kama Kuna mabadiliko tusubiri report rasmi ya Tanzania economic updates kutoka world Bank au kwa wataalamu. Punguza umakini kwenye habari zisizo rasmi, kwa nini asubuhi hadi jioni siku Saba za wiki siku 366 za mwaka unasisitiza na kuwa na hamasa za kuona mambo hayaendi hata kama huna taarifa rasmi. Hizo indicators watatueleza wataalamu sio kupinga with pointless
Shirika sio gani ila linaendeshwa kwa utaratibu Mgeni na ndege ngeni na mipango tofauti. Expect the best...
Mkuu mimi siamini ktk utabiri au ubashiri . Bunge limekoswa pesa sijui kwa nini na pande zote mbili mtoa pesa na mpokea pesa sijawasikia. Mara ya mwisho ni report ya world Bank kuhusu economic updates ya Tanzania ndio maneno au idea kama hizo nilizokupa zilisemwa na hii ilikuwa may 2016. Kama Kuna mabadiliko tusubiri report rasmi ya Tanzania economic updates kutoka world Bank au kwa wataalamu. Punguza umakini kwenye habari zisizo rasmi, kwa nini asubuhi hadi jioni siku Saba za wiki siku 366 za mwaka unasisitiza na kuwa na hamasa za kuona mambo hayaendi hata kama huna taarifa rasmi. Hakuna uchumi au Mipango ambayo haipitii katikati ya changamoto tanzania sio nchi ya kwanza,
Shirika sio gani ila linaendeshwa kwa utaratibu Mgeni na ndege ngeni na mipango tofauti. Expect the best...