Bosi, Mdomo wako unanukaaa!


bosi wako hajaenda choo mwezi mzima sasa harufu inatokea mdomoni!
 
Kie kie kie kie!!! Mpe zawadi ya BIG G au PIPI KIFUA, ujumbe utamfikia kiutu uzima
 
Mtu anaeamka kalala na mapuya na mbege na mipombe tumboni na kiti moto juu, unategemea nini? hata apige mswaki wa chuma miharufu ya pombe zilizoozeana na kiti moto tumboni haitoki.
 
mtake Radhi Alhaji Bana!

Tena wewe hiyo mi Tusker ndio chanzo kikuu cha kunuka domo mchana kutwa.

Kanuni za JF haziruhusu kubadili post ya mtu, tafadhali rekebisha, unaweza kuandika kwenye post yako lakini usicheze na post za wenzako.

cc Moderator
 
Last edited by a moderator:
Tena wewe hiyo mi Tusker ndio chanzo kikuu cha kunuka domo mchana kutwa.

Kanuni za JF haziruhusu kubadili post ya mtu, tafadhali rekebisha, unaweza kuandika kwenye post yako lakini usicheze na post za wenzako.

cc Moderator

Samahani kwa hisani yako nitabadilisha kesho kwani sasa natumia Mobile!
 
Last edited by a moderator:
Mbona hamjawagusa kina dada wanaonuka capital city zao. Kipindi cha baridi Njombe. Mbeya hadi Makete dada akipanua miguu chumba chhooote kinakua jehanam. hawa nao wafanyeje
 
Watu wengi ambao wananuka mdomo kwa muda mrefu,hii nji unayotumia kumfikishia ujumbe hataelewa.

Kama unanuka mdomo ukiongea na watu utajishtukia,maanake ukianza kupanua mdomo utaona reaction yao usoni.

Kama ameshindwa kujistukia usishangae akachangia hapa mkumbini kumshupalia huyo bosi anayenuka mdomo.

Jaribu kumu offer chew gum mara kwa mara anapoanza kuongea, kama asipopata message.
Mwache ipo siku akiamua kumwaga manyanga nyumba ndogo kama anayo, atapewa kavu kavu.
 
dah mkuu ningekuona wa maana kama ungemuambia mwenyewe ili abadilike,..
Amwambie aone watoto wajazane sebleni hakuna kwenda chooni chezea boss wakibongo? mimi naye mshikaji ofisini kumwambia naona noma kwani uhusiano wetu unawezakuvurugika!
 

Ukimaliza shughuri zako upitie barua yako kwa sekretari,umenidharirisha sana! na ntahakisha navuruga ukoo wenu wote,sisi ndio wenye nchi bwana!
 
wewe! akiona hii thread ana wewe nakwambia! lol!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…