bosi hili hua ninafanya bureee bila ya malipo yoyooote...

driller

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
1,116
246
bosi mmoja alikua na ofisi yake na siku moja alipo kua anaingia ofisini akamkuta messanger anakiss( kula denda) na secretary wake.. basi bosi kwa hasira na sauti kubwaa akamwuliza messanger.." yani ninakulipa ufanye kazi hiyo hapa ofisini..?" messanger kwa mshtudo mkubwa akajibu "hapana bosi hii hua nafanya bureee bila ya malipo yoyote bosi....!"
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…