bosi hili hua ninafanya bureee bila ya malipo yoyooote... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

bosi hili hua ninafanya bureee bila ya malipo yoyooote...

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by driller, Aug 30, 2011.

 1. driller

  driller JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  bosi mmoja alikua na ofisi yake na siku moja alipo kua anaingia ofisini akamkuta messanger anakiss( kula denda) na secretary wake.. basi bosi kwa hasira na sauti kubwaa akamwuliza messanger.." yani ninakulipa ufanye kazi hiyo hapa ofisini..?" messanger kwa mshtudo mkubwa akajibu "hapana bosi hii hua nafanya bureee bila ya malipo yoyote bosi....!"
   
 2. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ukute boss mwenyewe mwana mke sipati picha
   
 3. Mitchell

  Mitchell JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 357
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  ilishawahi kutoka humu ila in English but sio mbaya its cul
   
 4. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,313
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
   
 5. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2011
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Wivu tu. Kunya anye mtu bata kaharisha
   
Loading...