Bos huwa anakuja na baskel!!

Bos huwa anakuja na baskel!!

MAN I

Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
7
Reaction score
2
Kunamchz mmoja alienda town alpoenda town alkuta wahind wengi sana ikabdi aulize michano ilkua iv "iv india siombali sana,jamaa mmoja akajbu itakuwa siombali kwasabab boss wetu anakujaga kwa baskel!!
 
Haaaaa wahindi ni nomaaaaa ukifanya kazi kwao na wewe inabidi uwe kama chizi hv nguo moja kwa siku sita tena zile lonyalonya sagulasagula ukivaa suruali ya kitambaa na sharti la mikono mirefu na mchongoko kesho yake utasikia jumaaa ibia mimi so kesho hapana kuja.
 
yo atakuwa mwenda wazimu na si mzima wa akili hata kidogo
 
Back
Top Bottom