Born without a purpose

Born without a purpose

Nahisi kuna watu tulizaliwa tu bila dhumuni,,tupo tu ili siku ziende
Hii ni huzuni.
Soma hii

Nahisi kuna watu tulizaliwa tu bila dhumuni,,tupo tu ili siku ziende
Hii ni huzuni.
Sio wewe tu mkuu....
Wewe ni matokeo ya starehe za baba na mama yako.
Na ukimuuliza baba na mamayako kama walupanga kukuzaa, mkweli atakwambia No.... wewe ulitengemezwa wakati wanagonga uno...😋
 
Soma hii

Pamabana kijana, kikubwa ulisha zaliwa na una afya njema.
Ebu acha kulalamika, na vijana wenye mawazo kama haya ndio hua wanapigo za kusubiria urithi...
 
Hapana,boss nimejiajili,,ila maisha yangu yanachanga moto nyingi saana ,mawazo ya kujaribu upande wa pili yananijia sana ila nikiangalia watu walio nyuma yangu...hapana.. I must live
Lizika tu na hali yako bro kuna watu wanashona viatu tu stend na hawana siteresi kikubwa mkono uende kinywani
 
Hapana,boss nimejiajili,,ila maisha yangu yanachanga moto nyingi saana ,mawazo ya kujaribu upande wa pili yananijia sana ila nikiangalia watu walio nyuma yangu...hapana.. I must live
Usithubutu kujiua, ni udhaifu sana kufikiria kujitoa uhai life lazima lisonge
 
No one is born with a purpose. It’s your duty to find your purpose and fulfill it. That makes you and your legacy - if you exceed limitations.
 
Back
Top Bottom