Boresha mahusiano yako leo

Boresha mahusiano yako leo

activemedia africa

Senior Member
Joined
May 28, 2013
Posts
141
Reaction score
26
Tuma neno MAHUSIANO kwenda 15561 ili kupata dondoo muhimu za kuboresha mahusiano yako.

968925_578955978804428_1965657905_n.jpg
 
Tuma neno GIRLFRIEND kwenda na 22755 ili upate demu wa kutoka nae week-end. Wahi sasa mademu waliobaki ni wenye umbo namba nane na wenye makalio makubwa.

Makosa yatatozwa, vigezo na masharti kuzingatiwa.
 
hahahaha unatafuta pesa za kutajirisha kampuni,hizo sms wanakata pesa ndefu labda uwadanganye wenye mahusiano yanayosua sua.

na wengi wanadanganyika as if mahusiano ni one big mathematical formular ambao wanaume wote wako sawa in all aspect na wanawake wote ni sawa kama programmed robots.
 
Changamoto katika mahusiano hazikwepeki, ili kufanya mahusiano yako yawe bora, wote wawili mnapaswa kushiriki katika kutatua matatizo yenu. Jambo la muhimu sio kuonyesha nani ni mkosaji bali kutatua changamoto kwa heshima na upendo. Pata dondoo za kuboresha mahusiano yako. Tuma neno MAHUSIANO kwenda 15561.
 
Back
Top Bottom