Bora uende............. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bora uende.............

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nakapanya, Sep 6, 2012.

 1. Nakapanya

  Nakapanya JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 1,896
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Habari wana JF:
  Habari za siku nyingi kidogo.
  awali ya yote ningependa nikiri kwa hili ninaloenda kulieleea hapa nina makosa kwa asilimia fulani,
  Nimeluwa kwenye mahusiano na msichana mmoja kwa takribani miezi sita sasa.uhusiano wetu ulikuwa ni mzuri lakini wenye changamoto za kwaida katika mapenzi.Hivi karibuni nilisafiri kwenda kijijni ambako nilikaa kwa wiki mbili,huko kijijni hakuna mtandao wa aina yoyote hivyo kwa hizo wiki mbili tukawa hatuna mawasiliano.Niliporudi hivi karibuni,alinipokea vizuri tuu:jambo nla kwanza aliloniambia nakumbuka alisema nashukuru umerudi maana NILIKUWA NINA SHIDA YA HELA:Kauli hiyo moyoni haikunifurahisha kabisaa.Mimi nilichomjibu ni KWAMBA KWA SASA SINA HELA,baada ya hapo kilichofuta ni maneno machafu ambayo ni busara zangu tuu zilizonizuia kufanya jambo baya.Siku hiyo ikapita tukakaa kama siku tatu bila kuwasiliana,kanipigia ila alichoanza kuongea ni lawama tupu.nikaamua kukata simu(hapo ndio kosa langu);baada ya kukata simu akanitumia sms isemayo "KUANZIA SASA SITAKI TENA UNIPIGIE SIMU YANGU,FUTA NAMBA YANGU NA MIMI NAFUTA YAKO.TUSIJUANE TENA"
  Mimi binafsi mwanamke akishaniambia hivyo huwa sina muda wa kumbembeleza ninachofanya ni kukubali alichoamua na huwa sirudi nyuma tena.
  Sasa leo kanipigia simu anasema anataka kuongea na mimi;nilichomjibu ni kama ifuatavyo"KWANZA UMEPATA WAPI NAMBA YANGU ILIHALI ULISHAIFUTA? PILI NILIMWAMBIE BORA UENDE KWANI MAPENZI YA MIKWARUZANO,VISA NA SHARI SIYAWEZI".
  Je wana JF maamuzi niliyochukua ni sahihi?na kwa upande mwingine je mwanamke huyu anamapenzi ya dhati kweli?
   
 2. Siri Sirini

  Siri Sirini JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Uamuzi uliochukua ni sahihi, huyo msichana hana mapenzi ya kweli, mana anakuona wewe ni ATM, na usirudi nyuma, mana aweza kuja anaomba msamaha huku analia, mana wanaume wengine wakiona machozi ya mwanamke wanaingiwa na huruma, tena akipiga cm tena mwambie wrong number
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,799
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mwambie wewe ulidelete namba zake na ulimdelete moyoni pia,asikugeuze Atm bure
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,534
  Likes Received: 21,011
  Trophy Points: 280
  Kila kitu inategemeana na wewe unataka nini

  kama humtaki mwambie tu
  kama unamtaka mrudie tu...
  yote mapenzi pia
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Sep 6, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,916
  Likes Received: 5,079
  Trophy Points: 280
  wewe mwenyewe unaonaje?
   
 6. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #6
  Sep 6, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 23,373
  Likes Received: 3,121
  Trophy Points: 280
  We ndo umenena.
  Ni uamuzi wake arudi au asirudi.
   
 7. Z

  Zero One Two JF-Expert Member

  #7
  Sep 6, 2012
  Joined: Sep 16, 2007
  Messages: 9,393
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Jamaa bado anampenda sana inavyo onekana, hapo usitie ugumu mkuu we ludisha maguu muendeleze safari yenu
   
 8. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #8
  Sep 6, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,534
  Likes Received: 21,011
  Trophy Points: 280
  Karibu
  upoo?
  miss u
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Sep 6, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 70,234
  Likes Received: 27,838
  Trophy Points: 280
  hmmmmm
   
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  Sep 6, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,194
  Likes Received: 1,588
  Trophy Points: 280
  Lol! I love mind games! If i was u ningemuambia tuongee. Afu nimngejee aseme tena ana shida ya hela. Hakuna kitu kinakera kama mtu kukumanipulate kwa kununa! I cant tolerate that, ghhhrr!
   
 11. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #11
  Sep 6, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,534
  Likes Received: 21,011
  Trophy Points: 280
  Sounds like i am in your territory..lol
  am i?
   
 12. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #12
  Sep 6, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Simamia maamuzi yako ya mwanzo, usikubali kuyumbishwa.
   
 13. Nakapanya

  Nakapanya JF-Expert Member

  #13
  Sep 6, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 1,896
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  nilichokiandika hapo ndicho ninachokiona,hivyo naomba ushauri wako BADILI TABIA
   
 14. Nakapanya

  Nakapanya JF-Expert Member

  #14
  Sep 6, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 1,896
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Mbona umeguna.say something please
   
 15. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #15
  Sep 6, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,534
  Likes Received: 21,011
  Trophy Points: 280
  You love mind games?
  mnhhhhhhhhh
   
 16. Nakapanya

  Nakapanya JF-Expert Member

  #16
  Sep 6, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 1,896
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  so unanishauri nimwache aende zake au?
   
 17. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #17
  Sep 6, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,432
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  una hela sasa?
   
 18. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #18
  Sep 6, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sikiliza moyo wako hapa unapewa ushauri tu ila kuamua ni wewe
   
 19. m

  markj JF-Expert Member

  #19
  Sep 6, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,750
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 180
  Umekinahi utamu wake wewe!
   
 20. m

  markj JF-Expert Member

  #20
  Sep 6, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,750
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 180
  issue sio hela! Bali ameshindwa kumtingisha maini huyu.
   
Loading...