Bora uache ku chat

Bora uache ku chat

Ndio mwandiko gani?
Labda keyboard zao mbovu...loh
 
Itakuwa wanaunganisha typewriter kwenye kompyuta kama keyboard.
 
Keyboards zinatofautiana miaandiko?
 
mh,umenikumbusha cku 1 mtu flan kanambia cm yake imeishiwa cartridge (wino wa komputer)ndo mana maandish hayasomek kumbe screen ya cm ndo ina tatizo!
 
Nyie watu mna mambo sana! Kina atakayekuja na kusema wapo wenye mwandiko wa tembo.
 
Back
Top Bottom