Head current
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 479
- 128
Ikiwa mpenzi wako anakuzingua mwambie asikubabaishe bora pengo kuliko kubaki na jino bovu!
Teh teh teh, umenikumbusha ule msemo wa "akili za kuambiwa changanya na za kwako"...mwambie wa kwako sisi wakwetu tunawabembeleza!