Bora nitoe sehemu zangu za siri nipumzike

best Na boreka sana bas tu
Kuna raha ya kupenda mtu anaekuzidi umri yaani mwanaume awe mkubwa, heshima itakuwepo. Ahaaa ati my mbona unaniacha tena mko mbele za watu? Huu ni upuuzi😂😂.mkikuwa mtaacha kufatana kama kumbikumbi.
 
ahsante sana brother hii kero sana
Mkuu ngoja nikwambie kitu Cha kuzingatia sana.
Yaani jinsi ulivyoelezea nimekuelewa vzr sana kwa sababu situation Kama hiyo iliwahi kunikuta miaka ya nyuma.
Unatakiwa utumie akili nyingi sana na busara,ukifuata ushauri wa vijiweni unakwenda na maji.
Ni hivi huyo mwanamke amekupenda kupitiliza ndio maana anatumia kila namna ili kukulinda usichukuliwe na watu wengine.
Na kukupenda kwake kunatokana na moja Kati ya mambo yafuatayo.
1.Imetokea tu moyo wake amekutunuku au
2.Ameangalia future yako na amegundua kuwa utakuja kuwa ni mtu mwenye viwango vya juu vya maisha Kama bado hujafikia viwango hivyo kwa hiyo anaamini wewe ndio utakuja kuwa msaada wa pekee kwake.
Sasa kawaida ya watu Kama huyo huwa wakiachwa hawawezi kuvumilia hiyo situation na huamua kujiua.
Kwa hiyo hata Kama utamuacha Basi iwe kwa pole pole Hadi akusahau ila isiwe ghafla.
Ukikosea hizo hesabu utakuja kupata kesi usiyoitarajia.
Mimi nishawah kutokewa na watu wawili tofauti Kama hao wote walikunywa sumu lkn bahati nzuri ndugu zao waliwawahi wakapona.
 
Pole tunafanana. Tena mimi ishanitokea kukutana na hizo sampuli za kupe. Mara mbili ila sijawahi kujutia kiasi cha kufikia upumbavu wa kukata kitendea kazi changu. Kuwa makini
 
Nilimpata mwanamke tu nilipomaliza masomo yangu tumekuwa wote kwenye mahusiano Kwa muda wa mwez mmoja sasa
Lakin nimechoka kabisa huyu mwanamke tukitoka labda kwenda sehemu muda wote kaniganda kama tumefungwa kamba hata nikimwambia subir hapa nikojoe lazima anifuate aangalie kwel mkojo unatoka? Akipita dukan kununua kitu hata vocha hatak utangulie umsubir ukitangulia kidogo tu kelele nyuma ohh my mbona unaniacha my simama my simama jamani mimacho ya watu njian yote kwangu mpaka naogopa hapo maswal bado hajakuuliza kwann umeniacha ananishika begani mara kiunoni kero sasa huu mzigo nitautuaje me
Hata kama mapenzi siyo haya najuta akija ghetto nikitoka kidogo tu simu inapigwa usipopokea au upokee then uchelewe kuongea utamkuta macho mekundu amelia weeeee mpaka bhas akikuhitaji hata saa nane za usiku uende usipoenda atatuma sms mpaka asbh analalamika et anaumia........
Nisaidie naona kama mapenzi yapo hivi bora niachane nayo niondoe visababishi vya mambo yote haya
Nikimpata wa hivi nafurahi sana sijui wanaptikana wapi

We mpige mashine mpaka ashindwe kuamka
 
Wewe bado mdogo ukikuwa utawacha Hiyo tabia
 
Kweli binadamu tuna UTOFAUTI.

Yaani wakati wewe unakereka na mapenzi hayo. Kuna mwenzio anatafuta mapenzi ya namna hiyo, na still HAYAPATI...
 
Back
Top Bottom