.... kunitajia kumbe alikosea namba moja tu.
Mi nikachukua jukumu la kumpigia huyo bwana na kumweleza kwamba dem wake kanitusi kwa bahati mbaya.
Baada ya kama wiki hivi; huyo mama kanipigia na kuniomba samahani na kutaka kunifahamu .... Je! nimruhusu au nimpotezee?
Nashukuru kwa ushauli ila kuna hali fulani hivi ya kutaka kumpa mambo; yeye ananitania eti nina sauti nzuri kenye sm hivyo anatamani kuongea nami live....
Malengo yapi tena.
Nashukuru mkuu; ila huyo dem ananisumbua mara kwa mara kwa sms na kunipigia
Nashukuru kwa ushauli ila kuna hali fulani hivi ya kutaka kumpa mambo; yeye ananitania eti nina sauti nzuri kenye sm hivyo anatamani kuongea nami live....
Mama mmoja kakosea namba na kutuma sms ya matusi kwangu. Mi kwa ustaarabu nikampigia na kumweleza kwamba kakosea. Kwa hasira akaniporomoshea matusi eti mi niko na huyo jamaa yake na ndo kanipa sms nisome. Mi nikamwomba anitajie namba ya huyo mtu alotaka kumtumia .... kunitajia kumbe alikosea namba moja tu.