sabosabo
JF-Expert Member
- Dec 16, 2012
- 2,050
- 5,069
Unachokisema ni kweli dada!Yaani Kaka wanaume mpo wa aina nyingi sana aisee.
Sa sijui mleta uzi hajui kama huwa matatizo ni sehemu ya maisha? Labda kama huyo mdada anadanganywa hapo tutamuelewa.
Ila nje ya hapo tutamuita mwanaume anayeogopa majukumu ndio sababu anataka kukimbia.
Sioni sababu ya kukimbia majukumu,ni kuyaface tu!matatizo ni sehemu ya maisha!
Hata kama huna pesa, unazungumza naye unamuelewesha,kuonesha hata ile concern ni msaada pia siyo lazima utoe chchte!
kahhsdbfala Tais sgs...