Cosmasjulius
JF-Expert Member
- May 22, 2018
- 695
- 1,024
Aiseee kweli mwanamke ni kuishi nae kwa Akili... Mwaka Jana mwishoni nlipata girl flani hivi nkamtokea akakubali sasa mwanzoni hajwahi kuniomba helaa kabisa Ila mimi tu ndo nlikuwa najiongeza nampa kishkaji...mambo ya vocha kawaida Sana... sasa juzi Kati akawa amehamia sehemu ya mbali na ninakoishi akaanza kunililia shida nkawa nampa hela kishkaji tu lakini ikafika kipindi naona Ni too much anasema mpaka baba ake anaumwa na ukichek Mimi sipo vizuri kipesa now yani imebdi tu nimpotezee kimya kimya... japo nampenda Ila kila siku kumpiga viswahili na kumwambia sina hela nimeshindwaa...!!
Kweli mapenzi pesaaa...
Kweli mapenzi pesaaa...