Bora nikate tamaa ili niwe salama

“ kuna wakati maisha yanakosa maana”
Exactly my feelings right now!!
Jus tryna dig deep n get myself outta this shit!Ila ni ngumu asikwambie mtu!
 
Pole sana...

Unatumia nguvu na muda mwingi Kuwaza, kufikiri na kutamani kuliko kutenda ndiyo maana unafeli...



Cc: mahondaw
mtaachana tu na mahondaw wako... (just kidding). BTW si kweli natumia nguvu nyingi kuwaza kuliko kutenda ila tu utendaji wangu unategemea zaidi watu wengine ndomaana nafeli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwaka ndo unaanza. wewe kata tamaa na wenzio ndo wanajipanga
 
We jamaa upo vizuri kinoooooma yaaan umeteremka kisomi na kueleweka sana...hii ndio inaitwa akili kubwa inayotakiwa katika jamii zetu maana wengi wetu tunapitia vipindi vigumu sana katika maisha (binafsi now napambana na colon cancer) so watu wenye positive mindset kama wewe ndio haswa mnatakiwa na in that case hata mhusika was tatizo anajikuta anapona kwa ushauri wako kuliko kujiassociate na watu wenye negative mindset ni kujirudisha nyuma na kukata tamaa jambo ambalo ni hatari sana kwa maisha yetu haya
Ubarikiwe sana kwa maneno haya ya kutia moyo mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
I like what you have written!!
 
Hapa sasa mkuu ndio nimekuelewa hukoo juu kote sikukupata hata kidogo nikata nikupe ushauri kwamba "kajiue tu".

ILA KAMA ISSUE NI UGONJWA mzee wa kazi pole sana sana.Mungu akusaidie.Kuna mambo ambayo huwa yako nje ya uwezo wetu na unapaswa kukubaliana na hali amd let the situation be.Huko hakuitwi kukata tamaa bali unakubakiana na hali halis na kuomba aliye juu ya uwezo wote yy ndio aingilie kati..Pole sana mzee..kama ni ugonjwa pole sana..Nakuombe uwe mzima tena.Afya ndio kila kitu mengine yanafuata.get well soon.
 
Pole sana maisha yana changamoto zake hivyo Huna budi kukabiliana nazo
 
Oooh mkuu pole sana! nimeona hiyo colon cancer moyo umeshtuka sana kwakuwa mimi pia nina bowel dysfunction ambayo pia mwisho wa siku inaletaga colon cancer. Nataman kujua unakabiliana vipi na hali yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uboya kamanda unaniangusha.

Ili upate pesa lazima ujifunze kuuza.

Mengine yote ni blah blah

Jifunze kuuza utaona pesa haipungui mfukoni [emoji383]

Cheers 🥂


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Vipi Mkuu unaendeleaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…