Daviie
JF-Expert Member
- May 20, 2016
- 1,292
- 1,482
Nlipokuwa mdogo (before 20yrs) ilikuwa kila nikitaka kitu nikapima na kuamini naweza kuwa ama kupata basi ilikuwa ni lazima nifanikishe ningeacha vyote nifocus na hicho tu mpaka ieleweke. Sasa nimekuwa mkubwa bado ni mtu wa strong desires yaani nikitaka nimetaka akili yangu itaumia kutafuta namna ya kufanikisha ninachotaka kwa nguvu zote lakini mambo yamekuwa magumu mno hayaji kirahisi na si tu kirahisi bali hata kwa nguvu zote ninazoapply ambazo nilipima nikaona inawezekana lakini mambo hayawezekani.
Maisha yangu ni kama yamesimama, mateso yanaongezeka , changamoto hazivumiliki (ugonjwa/ulemavu) nimeshindwa kufanikisha nilivyofikiri itawezekana lakini nashindwa kupotezea na kumuachia Mungu. Msemo wa Mungu hachelewi wala hawahi haufanyi kazi kwangu, siwezi kabisa vumilia zaidi kuendelea na maisha ya hivi lakini nifanye nini sielewi, nikweli ninayoyataka yapo nje ya uwezo wangu, mengine nje ya uwezo wa binadamu lakini napata machungu kuona kwanini isiwe yaani milango yote imefungwa sasa nitokee wapi, halafu kwanini iwe mimi tu?
Agrrrh... Nahisi kuchanganyikiwa! hii strong desire ya kuwa mtu fln kuishi katika level fln licha ya hali yangu sasa inanitesa vilivyo. Nikikaa kutwa nzima kichwa kinawaka moto nifanya nini na kila ninachoamini nikijaribu sifanikiwi, sitakiwi kuwa hapa nilipo, sitakiwi kuishi hivi, Huu ni mtihani mzito sana kwangu. Nawaza pengine uzito hasa unakuja kutokana na aina ya mtu niliye. Bora ningekuwa mtu nisiyeamini katika mafanikio, kama ningekuwa mtu wa kukubali kushindwa walahi nisingeteseka hivi pengine ningekuwa cool nimemwachia Mungu lakini kiukweli nimeshindwa kukata tamaa.
Nimejaribu kujiwekea miiko kwamba No social networks hasa hasa FB, whatsap groups labda zinaniongezea anxiety kwasababu kule wengi ninaowahamu naona ni kama wote wameridhika wanafurahia maisha yao. Nikiwaza hivi kweli namimi niridhike na hali hii BIG NO! Nikasema wacha niachane na mambo ya Inspirations, Motivations huko IG nikiingia watu wanafanya big moves, hata wauza sura wanaoshine kwa kufake life still wanaEnjoy life, wakina Ontario kila siku kutusema tunaosindikiza maisha, Quote yake moja anasema "Maisha hayajawahi kuwa selective, hayajui kama baba yako ni maskini au wewe ni kilema, kipofu, yatima. Maisha ni kama mvua ikinyeesha haiangalii kama kuna mtu kaanika mpunga, kuna mtu anajenga nyumba, kuna mtu anaanika nguo, haiangalii chochote same as life.
Ni jukumu lako kuwa na mwamvuli " Basi nikiona hivyo moyo unauma sana naona bora nihamie kwenye kushabikia udaku na story za kina Mondi kusogeza siku lakini nazo zinachosha big times. Sina rafiki, sina mpenzi wala sidhani kama nataka kuwa nao kwasasa maana hata marafiki niliokuwa nao hatumatch tena kama zamani na urafiki umefifia. Sifurahii kabisa kuishi hivi, bila kuwa ninavyotaka seriously sijioni kuumaliza mwaka 2020.
Nimekosa alternative ya vipi nibadili attitude niliyonayo, niiambie nini nafsi yangu ili iridhike akili yangu itulie just to be calm and patient nisisumbuke tena kujiwazia chochote. Kama kuhold endurance nimehold sana nimefika mwisho kabisa sasa nahisi hata naweza kujifanyia kitu kibaya. Two times this year nilichukua hatua kadhaa toward self suicide lakini nikaghairi na kuishia kutokwa na machozi, nilimfikiria mtu mmoja anayenipenda sana lakini hana namna ya kuweza kunisaidia. Nahisi nguvu kubwa inanivuta kwenye self suicide kwakuwa seriously sioni care wala love kutoka kwa watu wanaopaswa kunicare na mimi ni mzigo wao.
Lakini siyo makosa yao pengine wanahisi I'm strong to handle the situation by myself. Should I tell them I need more love and care from them than this how they take me for granted now? Masculinity feelings stops me. Nahisi mwanaume sitakiwi kuomba mtu anipende wala siwezi kulazimisha mtu anijali. Is this right? How can I change this attitude. I feel worthless hilo halipingiki na tatizo langu hasa ni kutambua hilo. How can I fix this? Haya mawazo yasije kuniletea brain tumor ni bora nikubali kushindwa, nikate tamaa lakini nawezaje? Nitaweza kweli kujitenga na kila kitu, kila mtu? Si ndo mwisho wa siku nitajua mimi
.
Lakini nitaweza kweli kuassociate na society katika hali tofauti nikiwa mtu wa chini ninayehisi kupoteza thamani niliyokuwa nayo mwanzo ? Sipendi kuwa looser, well nimekuwa looser lakini sipendi kuonekana kama looser, sipendi kuwa worthless hivi. Dah, masikini mimi... Bora nikate tamaa!
#badmood #disabilityfeelings #poverty

.Lakini nitaweza kweli kuassociate na society katika hali tofauti nikiwa mtu wa chini ninayehisi kupoteza thamani niliyokuwa nayo mwanzo ? Sipendi kuwa looser, well nimekuwa looser lakini sipendi kuonekana kama looser, sipendi kuwa worthless hivi. Dah, masikini mimi... Bora nikate tamaa!
#badmood #disabilityfeelings #poverty