Bora mwanaume wa Kibongo, kuliko mwanaume Mkenya kwenye mapenzi

Pole sana,ila wanaume wa kenya hawako hivyo kama ulivyosema,huo ni ufinyu wa upeo wako wa kufikiri,vp hajakuomba tigo
 
Heheee ngoja nami ninunue bendera bana niweke hadi jikoni

Dada huyo hakufaiii mwanamke shurti kubembelelezwaaaa
 

Attachments

  • IMG-20150605-WA0004.jpg
    IMG-20150605-WA0004.jpg
    34.3 KB · Views: 209
Ni kwamba wakenya wanathamini sana hela kuliko mapenzi, tena wana malengo maishani kutuliko sisi

Wewe mwenyewe ni Mkenya hakuna Mtanzania atakayesema ,,kutuliko sisi" aidha tutasema ,,kuliko" sisi au ,,kushinda sisi" lakini siyo ,,kutuliko"!
 
........Usikubali akuoe huyo, jinsi Al-Shabaab wanavyowatafuta hao Wakenya, akikuoa ipo siku Al-Shabaab watakuja kukulipua nyumbani kwenu. Kaa mbali na Nyang'aus
.
 
Back
Top Bottom