Samson Ernest
JF-Expert Member
- Aug 28, 2014
- 1,228
- 1,733
Kuna watu humu kimsingi wanaonekana ni wanawake wanavyojifanya kushabikia USHOGA hawa unawaambiaje ?
Sawa,na Hawa wanaume wanajisifia kuzama chumvini je?Biblia ipo wazi kwenye hili, imekataza mwanaume kulala kingono na mwanaume mwenzie. Na mwanamke kulala kingono na mwanamke mwenzie.
“ ‘Usikutane kimwili na mwanaume vile mwanaume anavyokutana kimwili na mwanamke; hilo ni chukizo.”
Walawi 18:22 NEN
“ Je, hamjui kwamba wasio haki hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike: Waasherati, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wahanithi, WALA WALAWITI, wala wezi, wala wenye tamaa mbaya, wala walevi, wala wanaodhihaki, wala wanyangʼanyi hawataurithi ufalme wa Mungu. ”
1 Wakorintho 6:9-10 NEN
Sawa,na Hawa wanaume wanajisifia kuzama chumvini je?
Kimsingi huku duniani hata ukiwa mshamba kabisa ni jambo jema.
Leo kwenye Uzi wa Yoda nimeona mambo mbayo sikuaminiKuna watu humu kimsingi wanaonekana ni wanawake wanavyojifanya kushabikia USHOGA hawa unawaambiaje ?
SijaupitiaLeo kwenye Uzi wa Yoda nimeona mambo mbayo sikuamini