Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,680
- 149,871
Kuna chama kimoja(utajua mwenyewe kama ni chama siasa au Saccos n.k) kwakweli kimejaa watu wababe na waonevu wa kiwango cha juu sana.Watu hawa kwa ujumla wao ni waonevu pengine kuliko hata makaburu.
Kwa yanayoendelea,ni bora hata nyoko anaweza kuwa mwema kuliko hawa binadamu wenzetu waliovimba vichwa utadhani waliongea na mungu akawahakikishia kuwa milele wataendelea kuwepo hapo walipo.
Tunamlaani nyoka lakini kuna binadamu wenzetu wabaya kuliko hata nyoka.
Nyoka usipomgusa ni mwema na hata njia atakupisha lakini sio hawa watu!!
Baba yetu sijui kwani mungu alikuchua pengine ungekuwepo haya tunayoyashududia leo hii yasingetokea.
It pains a lot!