Uchaguzi 2020 Bora CHADEMA mngesitisha uzinduzi wa kampeni kufuatilia hujuma za wagombea wenu kuenguliwa

ccm wakibanwa mbavu wanaweza kuwarudisha wangombea wa upinzani baada ya kupiga kura utanimbia tume haitamtangaza wpinzani naona wapinzania wawe na hoja moja tu yakutokua na imani na tume mchakoto mzima ufutwe iundwe tume mpya watu wajiandikishe upya lasivyo nikupoteza muda
 
Upumbavu huu wa mtu akidhani watu bado wajinga hvyo atawaaminisha kuwa ni wajinga na anadhani watakbali ujinga wake ..hyu mtu atakua ni mjinga kwa kiwango cha juu sana!!kwamba wewe ni katibu wa CDM ulie mjinga siamini??wewe sio Katibu wa CDM!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Akili ni nywele na kila mtu anazake, Wahenga hawakudanganya
 
Hahahaha.

Hukuanzi leo nategemea kuona post kumi tu hadi uchaguzi uishe. Maana CDM ya mwaka huu inakuangusha Sana.
 
Acha ujinga wewee... mwaka flan jiwe alienda kuzindua kinyerez... madogo kibao walikusanywa wakaahidiwa elfu5 kazi yao iwe kushangilia tu..... lakini mwisho wakazulumiwa... hapo ndo kina sisi tukagundua kuwa hii michezo huwa ni kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…