Jana kampeni za ccm zilizinduliwa na olesendeka watu waliletwa na magari kama ilivyo ada yao sema mkutano ulikuwa umedorora san hakuna sera zaidi ya matusi eti olesendeka anaema. Dr slaa ana miaka sitini bado ana mchumba na nini kilicho mfanya auacha upadri jamani hizo ni sera? Mama anasema yeye ana kampuni ya tuazi na amesoma anajua kiingereza vizuri na anamarafiki wa nchi za nje hivyo apatiwe udiwani pia ana nyumba arusha na dar hapo naona hawana jipya vua gamba vaa gwanda peplez