Orodha ni ndefu sana iliyojaa watu mbalimbali maarufu hapa bongo wakiwemo waimbaji, waigizaji na wanasiasa, ila kwa uchache hawa wafuatao wanaelezwa kuwemo: Mr.Blue, TID, Kanumba, Jumbe, Diamond, H-Baba, Kapten Komba, Lundenga, Prezoo, Zitto, Ray, JB nk.
picha ya pili (mdada mwenye red) ni pacha wake Wema Sepetu, anaishi Texas, USA. walizaliwa, Wema (picha ya kwanza) katoka akiwa mwafrika na mdada wa pili akiwa mzungu!
halafu haka kabinti kama kangetulia kako bomba sana..basi tu. penye miti hakuna wajenzi!