Kuna mtu nilimwambiaga kwamba Mr Blue alishapitiaga pande hizo ila alikataa katu katu,
hii ilitokana na Wema kuwataja kwa uchache kwenye kipindi cha Mboni show,EATV ambako alianza na the Great ,Jumbe, akafuatiwa na ....... halafu wamwisho ndo NENDA KAMWAMBIE.
hawezi kosekana mtu kwa huyu mdada maana yuko hot kwenye hii sector... halafu kwa kubadili yeye ndio anaongoza wengine wanajikongoja na hilo halina ubishi