Kuchwizzy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 1,204
- 2,642
BOOTSTRAP 4 INTRODUCTION
Hello Coders,
Leo nimeona ni share na newbies wanaoanza careers zao kama front end developers
Course hii inakuhitaji uwe na angalau basic knowledge ya HTML ,CSS na Javascript
Na pia wana experience ya kutumia text editors kama Atom au VS Code
Ila nitajitahidi kwenda pia na wale ambao hawana knowledge yoyote ile
Let's get it started.......
Kwa complete Beginners..
What is front end?
Nini maana ya front end?
Web application yoyote ile imeundwa na sehemu kubwa tatu
Tuna
Huu ni muonekano wa nje wa web au mobile application yako
Inajumuisha chochote kile ambacho mtumiaji(user) wa application yako anaweza ku interact nacho
Kwa mfano,mda wowote tunapofungua browser zetu probably huwa tunakutana na hii interface
Hii ni front end ya Google
Muonekano wa nje ambao unamuwezesha mtumiaji ku interact na complex system nzima ya Google
Back end:
Ni part ya application ambayo sisi kama watumiaji wa Google Search Engine hatuwezi kuiona
Ni inside part ya application ambayo ina controll mfumo mzima wa google.com,
Tunaiita Backend kwasababu inafanya kazi nyuma ya pazia(In the background)
Tunapo type kitu chochote kwenye search input ya google.com,mfumo huu unachukua input yetu
(Search query) na kutafuta katika Database ya Google website zote zenye majibu ya kile ulichokitafuta katika mpangilio maalum(Google Ranking)
Database:
Hii ni part ya web application inayofanya kazi ya kuhifadhi data(taarifa) zote za application yetu
Kwa mfano wetu wa Google,hii ni Google Data Center
Developers wenye skills tu na front end programming hawa tunawaita front end developers
Na developers wenye skills tu za backend development hawa tunawaita Back end developers
Na wale wenye skills zote hizi hawa ni Full stack developers...
Programming ni nini?
Kwa lugha rahisi na nyepesi, Programming ni sayansi ya kuzungumza na computer
Unaiambia computer nini ifanye kwa kutumia lugha maalum ambazo tunaziita programming language
(Hii ni intro fupi tu ya nini tunaenda kufanya,ila kama unataka kujua zaidi kuhusu programming
nitaweka useful links ambazo zitakusaidia ku dive deep kwenye hii career.....
TEXT EDITORS
Hizi ni special application ambazo tunazitumia kuandika codes zetu
Kwa wale ambao hatujawahi kutumia application kama hizi,hapo chini niweka links
ambazo zitakuwezesha ku download na ku install Text Editors kwenye Pc yako
Ni simple,
Download VS Code (Recommended)
Atom(Kama una prefer simplicity)
BOOTSTRAP
Tumezungumza kuhusu front end na mpaka sasa angalau tunajua maana ya front end..
Sasa tuzitazame front end languages na kwanini kuna kitu kama Bootstrap
Kwa complete beginner
Front end languages ni zile languages zote zinazotumika kutengeneza front end ya application yako ama User Interface kwa jina jingine
Front end languages maarufu ni kama
HTML,CSS, & Javascript
HTML:
Hii ni mark up language tunayoitumia ku structure user interface yetu
Kuwa hapa ni heading,hii ni title,hii ni footer ect
CSS:
Hii ni styling language,tunaitumia kupendezesha muonekano wa User Interface yetu
Javascript:
Hii ni scripting language,tunaitumia ku add dynamic functionalities katika User Interface yetu(UI)
Kwa complete beginners nitaanda uzi special kwa ajiri ya hii topics
SO WHAT IS BOOSTRAP
Modern web application kwa sasa huwa zinatumia framework....
Framework ni mkusanyiko wa reusable components ambazo unaweza kuzitumia katika application yako tena na tena
The fundamental principle ya programming ni DRY
yaani "Dont Repeat Yourself"
Kwa mfano unaweza kupewa kazi ya ku design website
Websites zote normally zina navbar, header,button,card,footer ,forms,input,alert etc
Hizi ni common components ambazo utazihitaji tena na tena kwa kila projects utakayofanya
Ukiwa na project nyingi zenye dead lines,utagundua ugumu uliopo
kuwa kila project itabidi u design hizo components tena
Hii ni kupoteza mda na mara nyingi ni pain kwa front end developer
Na hapa ndipo front end framework kama Bootstrap zinapokuja
Bootstrap inachofanya ni ku provide hizo common web components out of box..
Kwa hio hauna haja ya ku design navbar,button,form,card,footer kwa kila application yako
Pia uzuri wa kutumia framework kama Bootstrap ni kuwa inakuwezesha ku design modern UI ndani ya mda mfupi na kwa kuandika codes chache
Mfano:
Hii ni Navbar bila framework yoyote....
navbar(bila Bootstrap)
Unaweza design Navbar components nzuri zaid ya hio kwa kutumia fewer codes zaidi..
Bootstrap Navbar
Sasa ni mda wa kuichimba Bootstrap kwa undani wake......Lets take break
(Contact:255 748333586)

- Front end
- Backend
- Database