Boot menu

Boot menu

Logik

Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
32
Reaction score
4
Wadau nina laptop aina ya LENOVO (ThinkPad) mpya niliitoa hard disk ilinifanye installation baada ya kushindwa kuboot from CD, baada ya kuinstall window na kuirudishia kwenye laptop ina display vitu vifuatavyo bila kufika kwenye window Boot Menu( ATAPI CD0: MATSHITADVD-RAM UJ8CO, ATA HDD0: HGST HTS725050A7E630, PCI LAN) tab inayofuat baada ya Boot menu ni Appln Menu(setup, Diagnostic Splash screen, Lenovo Diagnostics). Mwenye idea tafadhali.....
 
Sjaelewa Kidogo??? Window ulienda ku install kwenye pc nyingne au?
 
Kama uliinstall kwenye pc nyingine ni mara chache sana kukubali,labda kama nayo ni lenovo tena model hiyo hiyo ulionayo !!
 
Uko sawa kabisa mkuu, hasa kwa branded products ni very rare kufanikisha utundu huu, ila clones ni rahisi zaidi, sababu ziko nyingi kama mfano bios versions, chipset, devices registrations(Hardwares) kwenye registry, mass storages, bus speed, processor clocks.....etc.
Kama uliinstall kwenye pc nyingine ni mara chache sana kukubali,labda kama nayo ni lenovo tena model hiyo hiyo ulionayo !!
 
Tumia usb, hata mimi ilinitesa kwa cd, lakini kwa usb ni simple sana, ikimaliza ku copy files tu wakati ina restart chomoa usb kwisha habari.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom