MaMals
Member
- Oct 31, 2013
- 46
- 8
Hello wanajf katika jukwaa la masuala ya technologia! Juzi nilikuwa natumia internet kwenye laptop kwa bahati mbaya nilichomoa moderm bila ya kudisconnect ndipo machine ikazima! Nikiwasha inachelewa kuresume then inaniletea maelezo mengi CHOOSE BOOT SYSTEM THEN PLACE ANY KEY: Nikampa jamaa yangu akajaribu kuichek ikaandika THIS PROBLEM CAUSED BY UNPLUG OF USB DEVICE THEN Solution yake ni kiconnect tena iyo device then kirestart nimejaribu lakini nimeshindwa! Nikajiribu kupiga window nyingine lakini nimeshindwa! Msaada wenu wadau maana kwenye pc kuna kazi za muhimu