Boom

Boom

Habarini wana jf ,,nilikuw naomba kujuzwa kuwa boom huwa ni shingap na inatolewa kwa miezi mingap

Sent from my itel it1513 using JamiiForums mobile app
kama ni mwaka wa kwanza
na semester ya kwanza utapewa
meals and accomodatiotion 520000
books and stationery 200000
hiyo huwa ni week ya 2 au ya tatu baada ya kufungua chuo then baada ya mwezi mmoja na nusu tena mtapewa 520000 mtapewa tena hela ya meals and accomodation.

kwa maana hyo hizo laki 520k utapewa mara 4 kwa mwaka na hyo laki 200k utakuwa unapewa mara moja kwa mwaka kila uingiapo mwaka mpya wa masomo
 
Muongozo Umetolewa Sasa Ukanunue Simu Mpya, Laptop, Kula Bata Halafu Unasahau Kama Umetoka Village Unategemewa
Mwaka Wa Mwisho Madeni Tele, Chuo Humalizi Miaka Imepotea
 
Back
Top Bottom