msihofu wakuu boom liko karibu so presha za nini? Mbona presha za kuchaguliwa chuo sasa zimeisha lakini kuna watu wengine mpaka sasa hawajui wataenda chuo gani jamii foram is here to help people like these
Kijana acha swaga zako nimechomoka na vijiti vitatu so usiangaike kuni google utapoteza muda bure cha muhimu chukua concept au umesoma arts wazee wa kukremisha?:a s 465:
hili boom inaonekana lina raha yake maana laki sita tangu nizaliwe cjwah kushika....nikizipata tu lazima ntafute demu mkali hapo chuo udsm,pia nguo kali ckutaki tena huku kijijini:flypig::flypig:
Tuliza akili.....pesa hiyo ni ya kukusaidia kujikimu kama mwanafunzi ili uweze kuyafikia malengo yako ya kutafuta elimu...ukijifanya kutanua kama Kassim lete kama tulivyo utaadhirika na chuo utakiona kichungu.
Kanunue na Sub woofer,na tv,na simu touch screen,afu naskia cafeteria ya mabibo hostel hawauzi bia siku hizi,ungeenda pale ukanywa pombe afu ulale pale kisimani 'block G' baada ya siku mbili akili itakukaa sawa
hili boom inaonekana lina raha yake maana laki sita tangu nizaliwe cjwah kushika....nikizipata tu lazima ntafute demu mkali hapo chuo udsm,pia nguo kali ckutaki tena huku kijijini:flypig::flypig:
Hahaha, umenikumbusha vijana flani walikuwaga wanasema huwezi kusoma wakati boom liko bank. Bora ulishughulikie umalizane nalo jumla.
Kila la kheri mwaya, tumia hela ikuzoee. Ila demu awe mkali haswaa manake kwa laki 6 hata wiki 2 haziishi.
Nothing about priority and non priority wote boom sawa siunajua boom ni tofauti na laons.boom kila mwanafunzi anaeenda chuo anapata lakini ishu ni mkopo utapata?
unaposema loan means boom ni sehemu yake,usitake kupotosha ukweli bora ungesema wapatao loan wote upande wa boom wanapokea sawa,mbona ningekupata mapeeema.