Vitu vingine havina hata maana kuanzishia Thread..I think people don understand wat is the meaning of forums...Forum is not like fb that u write whatever pops up in your mind..Forum is a place where u measure what you want to write before you write it..Sasa hapa mkuu SOBSTER hii thread yako inatusaidia nini haswa?coz kama ulitaka kutoa ushauri kuhusu maswala ya boom ungefanya ivo kwa kuchangia kwenye thread ambazo zimeshaanzishwa kuhusu boom..
No offence at all ni mtazamo wangu tu kwako