Wewe Bado Mtoto ila Ukikuwa Utaacha!Mbele kwa mbele. Nani alikwambia sisi viongozi wa serikali tunatibiw bugando au muhimbili. Nendeni kijijini mkalime tukiugua tunaenda kutibiwa India.
huyoo jamaa nazan hajielewWatu wengine bwana maneno ya mkosaji kama huna chakuchangia si bora ukae kimya sasa akisha kula nyasi akaja kukutibu si kukuua tu. Tumia akili
Hiyo barua no fake haipo kwenye web yaoHii barua nayo siielewi elewi.
Kama uhakiki umekuwa mgumu hadi sasa kuna labda kibao .
Watenda kazi wa HESLB hawajitoshelezi kwa idadi.
Watenda kazi wa HESLB wanafanya kazi bora liende tu bila kujali wanafunzi wanaumia kwa kiwango gani.
Watendakazi wa HESLB, hawako competent kwa kazi zao, ndo maana wako slow.
Serikali imesubiri mwaka wa fedha uanze, ili wizara nazo ziwe huru kuanza kutumia fedha ikiwemo za Bodi.
Majibu tofauti tofauti yanayotolewa, yanaonesha kuna uwezekano mkubwa fedha za mwaka wa fedha wa 2015/2016 hazikufika Bodi ya Mikopo kama ilivyokuwa imepangwa na ndiyo maana inapwaya kuwapa fedha wanafunzi.
Chuo cha UDSM walipopanga kugoma, walipewa fedha zao ndani ya saa 48. Hii inaonesha walifanya hivyo kumpa mazingira mazuri Mwenye kaya kabla hajaenda pale kuzindua Maktaba. Maana UDSM ni chuo chenye wanafunzi wengi mno ukilinganisha na vyuo ambavyo hawajapata mikopo. Je wametumia muda gani uhakiki wa UDSM ambapo wanafunzi ni wengi kiasi kwamba ihitajike wiki kadhaa kwenye vyuo ambavyo wanafunzi ni wachache?
Tatizo ni uhakiki au fedha.?
Hiyo kwanza kisheria hatuwezi iita barua! Haina Muhuri, Saini wala uthibitisho wowote hule utakaotufanya tuamini kuwa inatoka bodi ya mikopo.Hii barua nayo siielewi elewi.