Booklet za UE ni mali kumbe! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Booklet za UE ni mali kumbe!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mpigaji, Mar 11, 2012.

 1. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wale mliopitia vyuo vikuu mna uzoefu na hili.Wakati wanafunzi wanafanya UE,huandika majibu yao katika Examinaton Answers Booklets.Matokeo ya UE hutolewa bila wanafunzi kuona nini walichopata.Kumbe hizi Booklet zilizotumika huwa mali ghafi ya kutengeneze mifuko ya kuwekea bidhaa madukani.Leo nimekutana nayo moja hapa Dodoma.
   
 2. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  recycling. Just good. Unless ulitia ndumba wakati wa pepa.
   
 3. S

  Skype JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Uchunguzi zaidi unahitajika.
   
 4. only83

  only83 JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Acha majungu wewe,ya chuo gani?
   
 5. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni chuo kimoja huku Dodomja,sifahamu ni chuo kipi lakini kuna fani ya udaktari!HEBU SOMA HAYA MAJIBU:(b)The basis of choosing A and O blood group for blood transfussion is that blood group A of the donor and the recepient blood group A will not have antigen and antibody reaction in the body of the recipient hence no cloting!
   
 6. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hakuna uchunguzi hapo kama upo Dodoma,pita pale ktk Duka la Mfanyabiashara maarufu wa vinywaji ambaye pia anamiliki timu ya futboli!Ni mifuko ya kubebea lambalamba!PM hapa ili nikutumie sample kwa posta!
   
 7. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hayo ni majibu ya maswali ya Biology Form IV
   
 8. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivyo ni booklet za CSEE!
   
Loading...