Boogie Woogie na K Matata.....

Boogie Woogie na K Matata.....

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,801
Reaction score
43,177
Kuna uzi nilitaka kuweka hapa wa mahaba, wimbo na yaliyomo yangekuwa maneno ya wimbo wenyewe.

Sijui kwanini ila nimejikuta nimebadili gia angani. Na uzi huu ulikuwa mahsusi kwa Dadii.

Kichwa cha uzi kitamfanya aelewe ni Mahaba tuu yananisumbua si jingine.

Ntafika hapo Boogie kesho jumapili mchana kisha baadae ntapotelea kusikojulikana.

Mahaba ya dhati yakikupitia saa ingine hata hujui unaandika nini na hata huelewi useme nini na wala hufikirii wataelewa nini au watasema kitu gani......

Mahaba ndo jina langu dash dash ndo mchumba wangu.

#AiilaaabbyuuuDadiiii 💙.

Kasie Matata.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom