Boni Mwaitege amefungua kanisa lake

Boni Mwaitege amefungua kanisa lake

Suala la baba kufa hakuna aliye na uhakika ila habari za kuaminika ni kweli aliugua stroke na alikuwa huko kwenye kasri lake mitaa ya kangaye ni muda sijamsikia wala wafuasi wake siwaoni kama zamani
Daah hatari sana, dogo alikuwa ananiambia waumini wake walikuwa ka mskule ukienda kansani kwake hutoki lazma uwe wapeleka kipato chako huko.
 
Daah hatari sana, dogo alikuwa ananiambia waumini wake walikuwa ka mskule ukienda kansani kwake hutoki lazma uwe wapeleka kipato chako huko.
Na ndiyo maana mimi nalaani sana aliyeleta dini hizi alikuja kujaza watu ujinga tu
 
Hii inathibitisha kwamba watu wanataka kuagana na umasikini kupitia dini kama wanavyofanya "manabii" wengine au kama walivyofanya wazungu wakatajirika kupitia dini.

Yule muimbaji wa nyimbo aliyevuma zamani hivi sasa nae ni mchungaji, kafungua kanisa lake mahali fulani (Nikitaja sehemu nitasababisha watu waende huko wakaliwe pesa zao).

Acheni wizi, haya makanisa yanaibia sana watu.



Sent using Jamii Forums mobile app
Katoliki hivi sasa wanalia. Familia zinapigwa laki laki bila kujali uwezo au kipato cha mtu ili mapadre waishi kitakavitu!
 
Waislamu nawapongeza sana. Uwe Sheikh au nani, niwajibu wako kufanya kazi ya kukuingizia kipato, huduma za kiibada malipo yake mbunguni.
 
Suala la baba kufa hakuna aliye na uhakika ila habari za kuaminika ni kweli aliugua stroke na alikuwa huko kwenye kasri lake mitaa ya kangaye ni muda sijamsikia wala wafuasi wake siwaoni kama zamani
Alijiita God of God. Mtoto wa marehemu mzee Mugyabuso. Kuna wanaosema alifariki kwa kuugua ugonjwa unaohusiana na "hii kitu hii" japo kuna wengine wanadai alipotezwa na wasiojulikana. Huyu wakati anaanza hiyo biashara ya injili alianza akiwa pamoja na school mate wake aliesoma nae pale Buswelu sekondari mzee wa kuliamsha dude kabla ya kutofautiana na kisha mzee wa kuliamsha dude kuanzisha biashara kama hiyo kivyake ambapo imempa umaarufu na utajiri mkubwa.
 
kuna vitu Mimi huwa sielewi unapomlaumu mtu na kumshutumu kuwa anawaibia watu!!
kwanini usitumie muda na nguvu kubwa kuwasaidia kuwapa elimu hao unaohisi WANAIBIWA??
tukikuuliza huo wizi unafanyikaje utakuwa majibu ya moja kwa moja hauna,Kama mtu kaenda kuabudu mahali pasipo kulazimishwa leo hii utasemaje anaiibiwa??
oky na wewe unaumia nini mtu mwingine akiibiwa???
 
hivi nini maana kumuibia mtu;? hivi mtu atoke nyumbani na kende zake, aimbe pambio mwenyewe, atoe pesa mwenyewe halafu Mwisho Tumlaumu mchungaji kawaibia huo ni Ufala sana!
Ni akili mgando tu inayoweza kusema hivo!
Hata sisi waganga Wa kienyeji tunasemwa sana pia!
Tatizo ni njia ya udanganyifu ( urubuni) mnayotumia kuwatoa watu pesa.

Ni sawa sana na kutembea kimwili na mtoto wa kike under age. hata kma alikufata wewe ukamfanya, bac tyar umebaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee.... Safi sana. Kama ameona ana huduma hiyo nampongeza sana kwa hili. Mungu amsaidie
 
Hii inathibitisha kwamba watu wanataka kuagana na umasikini kupitia dini kama wanavyofanya "manabii" wengine au kama walivyofanya wazungu wakatajirika kupitia dini.

Yule muimbaji wa nyimbo aliyevuma zamani hivi sasa nae ni mchungaji, kafungua kanisa lake mahali fulani (Nikitaja sehemu nitasababisha watu waende huko wakaliwe pesa zao).

Acheni wizi, haya makanisa yanaibia sana watu.



Sent using Jamii Forums mobile app
MAKANISA yaliyopo hayana sifa labda?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kanisa lipo banana njia ya kitunda unaingia kushoto,ni kanisa la mabati na ukifika pale unapewa na namba ya mchungaji (mwaitege)ili unapokuwa na shida umpigie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii inathibitisha kwamba watu wanataka kuagana na umasikini kupitia dini kama wanavyofanya "manabii" wengine au kama walivyofanya wazungu wakatajirika kupitia dini.

Yule muimbaji wa nyimbo aliyevuma zamani hivi sasa nae ni mchungaji, kafungua kanisa lake mahali fulani (Nikitaja sehemu nitasababisha watu waende huko wakaliwe pesa zao).

Acheni wizi, haya makanisa yanaibia sana watu.



Sent using Jamii Forums mobile app
Ilo kanisa lipo mbona kuanzia mwaka juzi,lipo pale ubungo external linatazamana na hotel ya best point .pembeni ya kanisa pana bar.
 
Juzi nimepita Mikocheni maeneo ya Chama, Kama unayokea Morocco Airtel kituo kinaitwa Chama.
Pale kuna banging jujubes LA kanisa limeandikwa "NABII MAHELA"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii inathibitisha kwamba watu wanataka kuagana na umasikini kupitia dini kama wanavyofanya "manabii" wengine au kama walivyofanya wazungu wakatajirika kupitia dini.

Yule muimbaji wa nyimbo aliyevuma zamani hivi sasa nae ni mchungaji, kafungua kanisa lake mahali fulani (Nikitaja sehemu nitasababisha watu waende huko wakaliwe pesa zao).

Acheni wizi, haya makanisa yanaibia sana watu.



Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahah mkuu acha tu watu walipigwa vya kutosha ila alikuja kukutana na mhaya jorowe Mr zuberi akamtimua kwenye lile jengo alilokuwa anatumia kuendesha ibada zake ilikuwa ni sereka mpaka police na mabomu yalitumika
Ck hiyo anaondolewa nilikua maeneo hayo natoka kwaz bugando. Dah ilikua ni shida bila polisi waumini wake wangemwaga damu!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dini miyeyusho sana....Biblia ni moja ila kila mmoja anapuyanga kivyake...tena hawapatani...
 
Back
Top Bottom