Bongo ukiwa na PhD lazima uchukiwe

Bora usiwe na PHD kama ya Mwigulu utadharaulika sana mkuu.
Jitahidini kua na nidhamu na mawazo mema
 
Elimu bila akili ni buree mzungu kaleta Elimu na mungu kaumba akili wengi wanafikiria kwa kutumia Elimu badala ya akili ambayo inaendana n mazingira halisi
 
Wabongo wanataka mwenye PhD awe na mawazo kama yake wa darasa la saba.

Yaani wanataka wafanane mawazo, bila hivyo mara ni msaliti, mara PhD fake au elimu haija msaidia.

Mtu unalazimisha wa PhD awe na mtazamo kama wako wa darasa la 7.
Ndo uwezo wako wa kuwaza umeishia hapo?


Sent from my 2107113SG using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…