and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,110
Uzi unakuhusu mkuu.Cha ajabu bunge letu PhD na Profesa za kumwaga lakini watu wanaoishi karibu na ziwa Victoria wananunua maji ya dumu,mniwie radhi kama sijaeleweka.
Kuna jamaa kasema hapo juu, tatizo la wabongo tunataka wa PhD wafikiri kama 'nyie' wa darasa la saba, wakifikiri kiPhD ndio comment kama yako mkuu zinakuja.Kama PhD ndio kama ya mwakyembe bora nisiwe nayo
Wahaya wote tutoe "like" kwenye uzi huu!!
Bibie Nina masters ya aquatic Science kutoka uholanzi GPA ya 4.3, ningekuwa sipo kwenye kujiwekeza na kufanya mambo ya biashara zaidi sasa hivi ningekuwa na PhD na full scholarships zipo na nazipata daily. Kwahiyo nilichokiandika nakiamini na kukikubali. Mwakyembe ana PhD ya ujinga hawezi kukana somo thesis take kwasababu ya tumboKuna jamaa kasema hapo juu, tatizo la wabongo tunataka wa PhD wafikiri kama 'nyie' wa darasa la saba, wakifikiri kiPhD ndio comment kama yako mkuu zinakuja.
Kukimbia umande ni chaguo.
Nje ya mada kidogo! Kwa asilimia kubwa Bongo tunasomea mambo kwa kuiona fursa. Vipi kibongo bongo hiyo fani iko poa (aquatic science)?Bibie Nina masters ya aquatic Science kutoka uholanzi GPA ya 4.3, ningekuwa sipo kwenye kujiwekeza na kufanya mambo ya biashara zaidi sasa hivi ningekuwa na PhD na full scholarships zipo na nazipata daily. Kwahiyo nilichokiandika nakiamini na kukikubali. Mwakyembe ana PhD ya ujinga hawezi kukana somo thesis take kwasababu ya tumbo
Safi.Walitumwa na baba zao kuja kusoma wao wakawa daily Club na Ubishoo sasa hata vidigrii vyao vipo katika hali mbaya sana .Eti Leo wanalia hoo tunadharauriwa sasa kama inawauma Rudini shule.PHD ni Ulimwengu Mwingine ule.Hii imekaaje? Yaani ukimbie umande mwenyewe wakati mwenzako kakomaa mpaka kapata PhD halafu unanuna?
Tuache ghilba na chuki dhidi ya wasomi wetu. Kama hatukupata nafasi ya kusoma mpaka PhD tusiendekeze chuki itazidi kutuumiza sisi Kiwango Duni (KIWADU).
Wanawachukia kwa sababu ya mambo wanayoyafanya hayalingani na elimu zaoHii imekaaje? Yaani ukimbie umande mwenyewe wakati mwenzako kakomaa mpaka kapata PhD halafu unanuna?
Tuache ghilba na chuki dhidi ya wasomi wetu. Kama hatukupata nafasi ya kusoma mpaka PhD tusiendekeze chuki itazidi kutuumiza sisi Kiwango Duni (KIWADU).
Kuna mkuu wa mkoa wa Moro(PHD) ya mambo ya food security wkt Magu anaingia alitengua uteuzi wake jamaa likaanza kulia lia eti ooh eti hata yohana alimezwa kwny tumbo la samaki sijui nini nisamehe baba.Matunda ya PHD hayoSafi.Walitumwa na baba zao kuja kusoma wao wakawa daily Club na Ubishoo sasa hata vidigrii vyao vipo katika hali mbaya sana .Eti Leo wanalia hoo tunadharauriwa sasa kama inawauma Rudini shule.PHD ni Ulimwengu Mwingine ule.