Bongo tunafeli wapi kwenye Movie, Nigeria wako mbali tayari

Bongo tunafeli wapi kwenye Movie, Nigeria wako mbali tayari

Lkn Mwanangu Ukiangalia Ile Movie Ndio Tunaweza Kufanya Lkn Kwann Atujafanya Sasa! Utagundua Kwamba Wqbongo sio watu wa kuthubutu Tunajiona Hatuwezi! Hi Movie wametia Mpunga sana Mwanangu! Angalia Behind the Scene hata [emoji327] Zinazotumika Mzee Wang Sio Kama zetu bongo mtu Anashoot Movie Na Camera ya Canon A50
Ile series kuna bajeti nzuri imetumika. Kibongobongo tunahitaji bajeti.

Halafu, inabidi tufelifeli kwanza ndiyo tupatie. There is nothing like experience.

Hata hao Wa Nigeria wenyewe wamejaribujaribu sana mpaka kufika hapo.

Tunaangalia their best movies and series ambazo zimefika Netflix, lakini huko chini kuna nyingine kibao ambazo hazieleweki.
 
Ujue tatizo la Tanzania ni hadhira kubwa ni masikini
Wasanii wengi masikini hivyo wanadharauliwa

Wasanii wengi wanasiasa na wamechagua upande ie wasanii wote ni wana ccm

Elimu ndogo ya wasanii na watengeneza filamu

Kurudiwa kwa hadithi

Hadithi kukosa mwisho ie HUBA toka 2016 hadi leo ipo, watu wanaua, wanauawa ila wanarudi kivingine.
 
Yeh Sure!
Yani Ajitokeze Mtu Ajilipue Tuu Kibongobongo Atie Mpunga Kwenye Single Movie Moja Iwe na Story Nzurii! Ya Love Story Lazma Netflix waichukue! Lkn Kibongo bongo Wanapobugi utashangaa wanataka wacheze yakivita! [emoji3][emoji3]Apo ndo Wanaponiachaga Hoi Risasi Inapgwa Kama zile movie za Kihindi mtu Anaidaka [emoji3][emoji3]
 
Njaa Nyingi Sanaa!! Wanashindwa Kufocus na Tasnia! Kila cku Tunawaona Kwenye Vikao vya CCM ! Mbona Wenzetu Hawako ivo! ATA kama Wanaenda Kwenye Siasa ni mara moja saaana!
Saiv Hakuna Bongo Movie Anaepata Deal Za Makampuni kwa Sababu ya Uigizaji wake ! Baathi wanapewa deal za makampuni kwa sabaabu ya scandal zao Tuu!

Ujue Saiv Pia Awaangalii Sifa za Mtu Kuwa Muigizaji! Yaaani mtu Mziki ukimshinda anakua Muigizaji! [emoji56]
 
Yeh Sure!
Yani Ajitokeze Mtu Ajilipue Tuu Kibongobongo Atie Mpunga Kwenye Single Movie Moja Iwe na Story Nzurii! Ya Love Story Lazma Netflix waichukue! Lkn Kibongo bongo Wanapobugi utashangaa wanataka wacheze yakivita! [emoji3][emoji3]Apo ndo Wanaponiachaga Hoi Risasi Inapgwa Kama zile movie za Kihindi mtu Anaidaka [emoji3][emoji3]
Kuna sehemu nilikuwa nimekaa na watu wa mataifa mbalimbali, wanajadili jinsi ya kutengeneza movies na documentaries kwa bajeti ndogo, na hata kwa kutumia camera za simu.

Akaja mtu akawa anajitapa kwamba katengeneza movie nzuri kwa bajeti ndogo sana.

Akataja bajeti yake ilikuwa dola za Kimarekani 150,000.

Nikasema Bongo movie wakikusikia unasema hiyo ni bajeti ndogo wewee!
 
Hii nchi Ina "ukiritimba" mno,mbali na budget ndogo kwa wasanii,pia kupata location ni ngumu mno,na ukiwa na story ambayo "si ya kawaida" wakubwa hawaitaki,mfno huwez kucheza story ya rais,kijeshi,kipolisi au usalama wa Taifa,... imagine wiki iliopita nmeona pale ubungo daraja la mwendokasi wanakamata watu wanaopiga picha pale??yaan hai make sense mtu akipiga picha darajani au kituo Cha mwendokasi anaharibu Nini??Sasa nkawaza hizo picha tu je Movie watakuruhusu u shoot apo?
 
Mbona Bongo Movie Wako Vizuri tu
Filamu Kama Vuta N'kuvute,T junction Zimepewa Tuzo Kubwa.Acha Kuangalia Bongo Movie Zinapakiwa Katika Mtandao Wa Youtube Au Zinazoonyeshwa Kwenye luninga Utanielewa.
Hata Baadhi ya Tamthilia Zinazoonyeshwa Azam Tv Zina viwango Hata Story zake Ni za Kibabe Tamthilia Kama Zahanati Ya Kijiji,Kombolela Zimebeba Maudhui Ya Kitanzania Pia Ziko katika viwango.

Shida Tunataka Filamu Kama Za Hollywood; Vita,Visual Effects za Kibabe Na Wakati Uwekezaji Katika Filamu Hizo Unagharimu Mabilioni Pia Wanauza world Wide.Upande wa Nigeria Wao tayari Wanaliweza Hilo Kwa Kiwango Flani Wanateknolojia Kutuzidi,Soko Kubwa,Distributors.Ni Rahisi Kwa Filamu Za Nollywood Kuonyeshwa katika Kumbi za filamu za California,Washington n.k Kwani Kuna wanigeria wengi Wanaoishi Abroad Kuzidi Watanzania wanaoisho Abroid Wanasapotiana Pia Viwango Vya Filamu Zao Zinashawishi Mtu Yoyte Kuangalia Hata kama Sio Mnigeria anayekwenda kusupport.

Kwa upande wa Tanzania Tunajitahidi Kuandaa Movie Zenye Maudhui Ya kitanzania Kwa Kiwango Kizuri.
Watanzania Hatu Support Vya Kwetu kwa kuamini Ni Vibaya Hata Kabla ya Kuviangalia.
 
Hii nchi Ina "ukiritimba" mno,mbali na budget ndogo kwa wasanii,pia kupata location ni ngumu mno,na ukiwa na story ambayo "si ya kawaida" wakubwa hawaitaki,mfno huwez kucheza story ya rais,kijeshi,kipolisi au usalama wa Taifa,... imagine wiki iliopita nmeona pale ubungo daraja la mwendokasi wanakamata watu wanaopiga picha pale??yaan hai make sense mtu akipiga picha darajani au kituo Cha mwendokasi anaharibu Nini??Sasa nkawaza hizo picha tu je Movie watakuruhusu u shoot apo?

Ebwana Eeh Tatizo Kubwa Sana Na Serikali yetu huenda Inatubania aiseee [emoji3064][emoji3064]
 
mtindo wetu wa Movie za Love Story, za Maisha tuu. Lakini ziwe na uwekezaji wa kutosha.

MWANZILISHI WA FILAMU ZA TANZANIA SHAMBA KUBWA NA LOVE STORY
Mzee wetu anatupa siri ili Bongo movie ifikie viwango ambavyo tunatarajia watazamaji

View: https://m.youtube.com/watch?v=ShbPgahWxmA

Gwiji la script za movie aliyesoma fani ya kutayarisha script za movie na kutolea mifano ya Shamba Kubwa, Love Story Tanganyika na Zanzibar jinsi alivyochukua vitabu vya riwaya na kuandika script iwe sinema .....

Gwiji mkongwe mwalimu Kassim Baallly Omar El Siagi anazungumzia vipingele vyote muhimu ili script ikamilike ikiwemo plot, suspense ...... msikilize wewe ulie director, mtunzi wa hadithi, script writer, mtazamaji, sponsor ...

Mr. Kassim Baallly Omar El Siagi : A former teacher & sportsman. A literature scholar &theatre artist. A film producer, script writer & director. Tanga,Tanzania.
Starting in 1995 with a single analogue film known as Shamba Kubwa (literally translated as “The Big Farm”), directed by Kassim el Siagi, bongo movies have increased dramatically, replacing Nigerian video films (Nollywood).
 
Tafuteni Movie Moja Inaitwa FAR FROM HOME ni Wanigeria walioigiza. Yaani Movie imefanana na zile Movie za Kimarekani Kabisa asilimia 100 mpaka wamewazidi, sijui hapa kwetu tunafeli wapi.

Wametuacha kimziki, basi tungekaza kwenye movie lakini kila kukicha sanaa yetu imekua inafanya vitu ambavyo wenzetu walivifanya muda sana!

Nimpongeze dada yangu Lamatah Leah na niendelee kumtia Moyo huenda siku moja ataifikisha Sanaa yetu sehemu sahihi nasi tujivunie!

Hata kama hatutafika kama Wamarekani lakini basi tuwe na mtindo wetu wa Movie za Love Story, za Maisha tuu. Lakini ziwe na uwekezaji wa kutosha.

Cha kumalizia kaangalieni Series ya FAR FROM HOME ya Nigeria mtaelewa nachomaanisha [emoji562][emoji562][emoji562]View attachment 2632977
Wapi ambapo hamjafeli?

Mnaenda shule kusomea ujinga.
 
2021 11 Nov

Hussen Tuwa afunguka alivyouza nakala 10,000 za kitabu chake 'Mkimbizi' undugu na Unique Sisters​

Hussen Tuwa, moja ya waandishi mahiri wa riwaya kuwahi kutokea nchini Tanzania.

View: https://m.youtube.com/watch?v=7qPWMGoak30
Anafahamika kwa riwaya zake kama Mtuhumiwa, Mkimbizi, Mdunguaji, Utata, Mtafiti na vingine. Kwa sasa ametoa kitabu kipya kiitwacho Miss Tanzania
 
Back
Top Bottom