Mtanzania haswa
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 663
- 99
wakati wanaanza mashindano walituomba tuwapigie kura washiriki kwa kutumia simu zetu na pesa zetu. tuliendelea kupiga kura kumchagua mshindi kwa zaidi ya mwezi mmoja. Ambacho tumerudishiwa sisi watazamaji na wapiga kura na huyu bibi anayejiita chief judge ni kutooneshwa fainali live, licha ya sie kupigia kura washindi. Je ni pesa ipi ambayo imemlipa zaidi kati ya kile kiingilio na ile ya ku vote kutumia simu kwa muda mrefu ule. huyu bibi anaendelea kuharibu programu yake hii ambayo aliba kwa dada kinyonga