Bongo saridalama

Hahahaaahahaaaa hapo sio Dar, huyo mbuzi angesha nyongwa na kuliwa kwenye vilabu vya mataputapu
 
Huku Babati Mbuzi wa stendi wanakula chipsi mayai, pilau, hadi supu wanakunywa. Ni noumaa muzee.
 
Hahahaaahahaaaa hapo sio Dar, huyo mbuzi angesha nyongwa na kuliwa kwenye vilabu vya mataputapu

mkuu we unapajua dar au unapasikia!! kuna mbuzi wako kama 8 hiv na wanazidi kuzaliana, wanazungukaga kila cku maeneo ya magomeni hadi kinondon, wanasadikika ni watu waliwaibia wapemba wakageuzwa mbuzi, na hakuna anaethubutu kumchinja wala kufuga, wanazurura tuu mtaani, walikuaga 4, mara mwisho kuwaona walkua 8 , sa sijui wamefka wangap mpaka sasa. so inaweza ikawa ni mmoja wao huyo
 

Na waaina hii wanajichunga wenyewe hawagongwi na magari wala nini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…