Bongo oyeeeeeeee!

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,488
79
i1018_juliusnyerere01.jpg
 
Halafu mijitu na nanihino zao inamdharau huyu mzee!
Nitawalenga vichwa vya pua nyie...!
Tusitaniane bana!....This is a very serious job!
 
Huyu mzee 'kichwa sana'

Imagine!!!! he foresaw all that is happening now!! I salute and will always do that Mwl!!

He did his best for this country alafu wanyang'anyi wanagawana faida hata hawajaifanyia kazi
 
huyo ndo nyerere aliyejenga viwanda vingi hapa nchini na wapumbavu wakaviua. aliyetujengea highest brotherhood in africa na leo watu wengine wanamwona hafai, aliyetufanya kujiamini na kutotegemea manyanyaso ya wazungu kwa muda mrefu, leo hii angalia mpaka wachina wajinga nao wanatugeuza koloni, aliyetufanya tuishi bila njaa, tuishi kijamaa kama ndugu. Angalia kenya uchumi juu yetu ndio ila unamilikiwa na wachache na wengi ni kutoka nje ya nchi yao, watu wanakufa kwa njaa na bila care yoyote (ubepari na ukabila). sie tuko chini kiuchumi ndiyo lakini tunaishi kwa furaha. Afande selle aliimba ni heri ugali na mlenda kwenye amani kuliko nyama choma vitani. Tungetakiwa kutumia amani kujenga uchumi imara kama yalivyokuwa matarajio ya mwalimu, bila amani hamna maana ya maendeleo. nenda afrika kusini kaone nchi nzuri ila kila siku watu wanakufa kwa highest crime, xhenophobia, no brotherhood, apartheid. think about it.
 
Hongera ziende kwa Mtwa Mkwavinjika Mkwawa, chifu Mirambo,Kinjeketile...na majemedari wote wa kihehe na mashujaa wa maji maji ambao hawakuwa wanafiki wanafiki walijitolea roho zao na mali zao ili mm na ww tuitwe watu huru kutoka mikono ya wanasiasa na watawala mabeberu wanaoila nchi hii kwa mifumo na sera za kiuchumi wa kiwizi wizi...kuanzia wajerumani, waingereza, Tanu mpaka CCM
Tunatamani wangekuwa hai tukapata ari zao,tukajifunza uthubutu wao,tukajigeza ushujaa wao wa kupinga udhalimu na unajisi wa rasilimali zetu unaofanywa na chama tawala CCM kwa kushirikiana na manyang'anyi yanayoitwa wawekezaji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom