Bongo na uchakachuaji Takwimu...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bongo na uchakachuaji Takwimu......

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mpelijr, Apr 1, 2011.

 1. Mpelijr

  Mpelijr Member

  #1
  Apr 1, 2011
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 89
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 15
  Jamani leo nimekuja kugundua kwamba ofisi nyingi hapa bongo wanatumia takwimu feki ili kuepusha kuonekana kwa maovu yao.Hizo ofisi wote twazijua kwani ukisoma habari za bongo kwenye vitabu ni tofauti na hali halisi.....Waongooo....Wanachakachua takwimu za umasikini mpaka za vilema....
   
Loading...