Uzuri wa Movies ni kwamba ikikamilika km hapo mdau unaona hatari saaaaaaaaaana, lkn ukion behind the scene yaani wakati wanatengeneza hiyo movie huku nyuma ya camera kuna watu km ishirini na zaidi na hiyo scene hurudiwa rudiwa mara kibao tuu ili kupata scene machachari. Ushidhani kwamba walikuwa peke yao hahahaha so siyo ya kutisha km mdau unavyodhani