Bongo movie

Rich Pol

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2013
Posts
7,880
Reaction score
5,725
Hawako serious
 

Attachments

  • 1417528396032.jpg
    44.5 KB · Views: 391
Kuna thread moja inaitwa UTAJUAJE NI BONGO MOVIE? nikikumbuka nacheka sana, yule jamaa kaichambua vizuri sana
 
Huyo anajiandaa kupanda kitandani na huyo mrembo....hiyo silaha ni ya kutishia apewe mzigo.
 
Wapo serious aiseee. hujui kuwa wanavua viatu ili wenye nyumba wasisikie kama kuna jambazi anaingia...:boxing:huo ni ubunifu
Mbona kuna viatu vingi tu iwe raba au pure leather soli laini haipigi kelele...Jambazi anayeweza kumiliki sailaha hawezi kushindwa kununua kiatu cha 60,000+
 
Jambazi kavua viatu na soksi...hahahahah
 
Wapo serious aiseee. hujui kuwa wanavua viatu ili wenye nyumba wasisikie kama kuna jambazi anaingia...:boxing:huo ni ubunifu

Halafu akimaliza ujambazi waka anarudi kuvaa viatu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…