Lakini asikwambie mtu kama wewe upo kwenye fani fulani iwe ya muziki,filamu au urembo na ukapatwa na tatizo kama hilo halafu uone wenzio hawajashriki kikamilifu,lazima utaumia kama binadamu labda kama haujawah kufiwa huwez kuhis maumivu aya,kila binadamu anapenda faraja pale anapopatwa na jambo zito haswa la kufiwa na mzazi,hata wema mwenyew aliumia na ndo maana akasema wangemzika kwanza baba yake halafu mambo mengine yangefuata,inaumiza sana,ila ni suala la kujifunza tu jinsi ya kuish na watu,na siku zote maisha ni kuishi na kujifunza,japokuwa sometimes revenge si not a good option ila ndo imetokea,pole sana madame