Bongo Movie mnashida gani?

Umempiga kijembe Gara B[emoji1787]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anhaa kama uliwahi kuwa mmoja wa waangaliaji wa mikanda ya Cinema ya Nega hapo tunaweza tukaanza kuongea pamoja.......Kwa sababu nilijua hawa vijana wa Milenial ambao wanajifanya wanajua..

Ila kwenye bongo muvie kiukweli Wanajitahdi sana sio uongo hatuna miaka mingi kama wenzetu ila kuna baadhi yao wanafanya kazi vizuri japo huwezi kuilinganisha na ulaya na marekani
 
No. Mimi nimeanza kuangalia cinema kabla ya hizi videos. Negative zinazunguka hivi tumekaa sebuleni mzee ndo ana control. Ndo maana nikakutajia habari za chale mnene na chale mwembamba.
 
Kuna mambo mengi hawawezi. Ndo maana nikakuambia Kidedea miaka ile waliigiza vizuri zaidi kuliko hawa wa sasa. Wanafoka foka tu na kutoa macho. Na kiingereza chao kibovu. Yaani wanaongea wakionesha kabisa wana igiza. Na lazima waweke ujinga wakiamini ni kichekesho.
 
With all due respect. Movie zipi hizo ambazo umesema 70% zinaelekeana credibility na movie za wenzetu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mkuu ebu kuwa serious basi

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
No. Mimi nimeanza kuangalia cinema kabla ya hizi videos. Negative zinazunguka hivi tumekaa sebuleni mzee ndo ana control. Ndo maana nikakutajia habari za chale mnene na chale mwembamba.
Na ndo maana ulipotaja nikajua huyu lazma wa enzi hizo maana vijana wa siku hizi hawazijui
 
Mimi toka 2008 sijawahi kuangalia tena bongo movies
 

Tosh Gitonga’s New Series ‘Volume’ Debuts On Netflix​

4 Jan 2024 — While chasing his dream of making a living through music, a talented young man from humble origins ..... Set in Kenya, Volume is the story of an up-and-coming rapper with a crew, which includes Smallz and Castro, and together they try to 'make it' in a place where the punishment for one's mistakes is pretty harsh...

Trailer


View: https://m.youtube.com/watch?v=MTdbi5UNSUs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…