Bongo Movie mnashida gani?

Mkuu ni sawa lkn angalao zilikuwa Zina shawishi na kuonyesha maisha halisi ya jamii ya kitanzania

Movie kama Uncle JJ unaona kabisa Watoto wanavyoweza lisishwa uchawi. Angalia movie ya father James Jinsi kanumba alivyo mla sister na uhalisia wake ulivyo na jinsi jamaa alivyokuwa anapangilia matukio unaweza Angalia zaidi ya mara7 Bado huchoki!
 
Umeona mbali sana mkuu lkn Bado na wao wamepoteza ubunifu na ushawishi mtu anaona ni vyema aangalie za kikorea,kihindi nk!
 
Upo sahihi kila ulichoandika ila kudai Ray ni mvaa uhusika mzuri nakupinga na nakupinga unavyosema Kanumba alikua writer mkali na mchagua xcter mzuri.

Sijaangalia bongo muvi za kuanzia kwa Kanumba mpaka mwaka huu hivyo majina sijui ya hizo muvi ila proof yangu mimi ni muvi moja Kanumba anazunguka na mshkaji huku yeye ana pistol akimuamuru kufanya vitu mbalimbali.

Muvi ya Kigosi ambayo itaprove ninachosema ni yupo na Sajuki wameenda kusoma nje halafu Kigosi anarudi ghafla kisa mkewe mgonjwa or something.

Kama kuna best movie unayoona ya hawa wawili itaje na unionyeshe strength iko wapi
 
Sasa jini la bongo siwange chukua hata picha ya samia tu ingetosha.
 


hata tatizo hilo linachangiwa na sisi, Mkuu Sex sales, ni rahisi kuuza story ya mapenzi au ngono kuliko drama nyengine yoyote, ndio mana nikasema sisi wenyewe ni part ya tatizo. TZ tuna population kubwa ila moja tatizo letu kubwa ni high number ya uncivilized people.
 
Ila bwana hayo yote sawa.

Ila kuna watu wanajitahidi sana sasa hivi...

Shout out to LAMATA na JIMMY wana tamthilia Tamu sana .....Jua kali ,Huba ,Kapuni na nyingine nyingi
Hakuna mtu makini au mwenye akili timamu anaweza kuangalia bongo movies
 
Hakuna mtu makini au mwenye akili timamu anaweza kuangalia bongo movies
😅😅🤣🤣🤣🤣🤣
Mkuu waigizaji wa Lamata wote Ni waigizaji Maarufu na ni watu wanaoheshimika sana kwenye jamii, Kwenye Juakali walishawahi kuigiza mawaziri humo waliomo madarakani na hata Watu waliokuwa Public figure wakubwa bado wanaigiza..

So ni chaguo lako tu mkuu..
Na mara nyingi watu wanaoponda bongo Movie ya sasa ni wale ambao hata Muvi za nje hawazijui zaidi ya Kikorea tu...
Watu tunaangalia movie zote Za nje ,Series zote za nje na nakuhakikishia kwa Ujuzi wangu wa kuangalia muvie almost asilimia 70% ya movie nyingi za sasa zinazotoka zina credibility ya ubora unao weza kufafanana na movie za nje..
Unless huangalii movie za nje
 
Ray sio muigizaji ni mtopokaji
 
Bob, mimi ukitaka tuzungumzie movies njoo tuzungumzie za Ulaya na Marekani. Movies and series. Ukitaka za Kibongo rudi miaka ya Kidedea walikuwepo waigizaji wenye kuigiza vizuri. Siangalii movies za Kibongo, Kinaijeria, kikorea, wale wa asia. Na pia hata za kizungu nachagua sana naangalia amhazo zina akili. So labda unataka tuanze na series? Nikutajie series ambazo nimeangalia since mwaka 1997 wakati huo tunaangalia VHS na pia tv shows kama Days of our lives?
 
Try me!
Mi Movie za nje naangalia sana mkuu,
Nimeanza pengine kabla yako kuangalia tumeanza kuangalia Movie kama Dragon ball ya mwaka 1989, Life goes on miaka hiyo ya 1990, American Gladiators miaka ya 94 ,..

Na kipindi hicho miaka ya 80 na 90 mwanzoni movie nyingi zilikuwa ni Comedy Themes movies na tulikuwa tunazipenda hivyo hivyo..
Muvie za serious zililkuwa Chache kama Dogie Howser ya mwaka 93 hiyo kipind ndo niko form six,

NAchotaka kukwambia kwa upande wa movie sidhani kama unaweza kunidanganya mkuu..
Africa movie zetu nyingi zimeanza miaka ya 92 na kuendelea kina Sarafina na zingine kibao ila miaka ya 98 na kuendelea ndo tulianza kukomaa sasa nchi yenye miaka ishirini na kitu kwenye movie huwezi kulingnisha na nchi yenye miaka zaidi ya 40 kwenye kiwanda cha movie
 
Ukisema movies. Nimeanza angalia cinema toka miaka ya late 70s. Hapa Tz tulikuwa na sinema za akina yomba yomba. Unafahamu sinema za chale mnene na chale mwembamba? Unafahamu ni akina nani? Sasa nakutajia majina hayo ili uelewe si wewe kunitajia majina ya cinema ambazo uki google zitakuonesha ni za mwaka gani. Tv Series nimekwambia since 1990s mzee alikuwa anakuja na MIKANDA (VHS) so elewa dogo. Sisi tunazifahamu movies na tv series za miaka hiyo. SIWEZI ANGALIA BONGO MOVIES NI AFADHALI UNINYONGE
 
Nafurahi kuitwa dogo!

Wewe kipindi hicho ulikuwa unaletewa na mzee wako ila mimi kipindi hicho nilikuwa nanunua mwenyewe kwa pesa nilizokuwa nazipata baada ya kufanya vibarua..

SInema nyingi Tanzania miaka hiyo zilikuwa ni Theatre Film ni za maonyesho tu ya ukumbi na hakukuwa na sinema za watanzania za kutazama kwenye viTV VYETU VYA JICHO MOJA ...
iliyokuwa even kina majuto na kina mzee small wameanza kuonekana kwenye Sinema miaka ya 97 ,98 hivi kina pwagu na pwaguzi na wengine wote walikuwa wanaigiza kwa njia ya Sauti kupitia Radio..

Muongo bhna we ulikuwa unaangalia Cinema wapi miaka ya 70s...

Nenda kamuuliza Baba yako (Ambaye yeye anaweza kukujibu) mikaKa hiyo Tanzania ilikuaje kwenye maswala ya kuangalia Sinema za nje au kutumia bidhaa za nje..

Kuna wakati unapojaribu kutetea kitu usiwe mbishi miaka ya 89 mwishoni na 90 hivii ndo namuona mzee wangu akichakarika kununua Tv na huku akinisomesha mimi Darasa la 14 mungu amrehemu aliko huko, baadaye ndo alikuwa wa kwanza kununua Tv nakumbuka kata nzima ndo baadae wengi nao wakanunua Tv...

Kunidanganya ni vigumu kwa sababu miaka hiyo nimeishi labda uniambie kuhusu Miaka ya 50s ndo sikuwepo ila miaka ya sabini na 80 na 90 sidanganyiki mkuu...

NB: mkuu point of correction huwa Sigoogle kitu ambacho sio tu Nakijua bali nimekiishi na nikuongeze tu Hatukuwa na VHS miaka ya 70,VHS ilianza kushamiri miaka 90 japo Miaka ya mwishon wa 80 kama 89 ilianza kuingia nchini..

NA HAKUNA MTU ANAKULAZIMISHA KUANGALIA BONGO Movies Nilichosema ni kwamba kuna Improvement kubwa sna ukilinganisha na tulipotoka
 
Sijui kama kuna sehemu nimesema TV miaka hiyo ya akina Yombayomba. Hii nimeangalia home kama cinema. Siyo kwenye TV elewa tofauti yake. Ndo maana nimeshaelewa shida ipo wapi. Miaka ya 80s sisi tunaangalia sinema home. Ile mikanda inazunguka kama picha za negative. Mnaweka shuka jeupe ukutani. Sasa nimeelewa shida ipo wapi. Wewe endelea kuangalia bongoe movie bob.
 


Nsyuka
Shumileta
Roho Saba
Wameliacha mbali sana jini la twenti twenti tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…