passion_amo1
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 1,828
- 3,935
Kuna shida ipi tuanze kuchambua?Nilichokiandika ni kuwa kwasasa kazi zimejawa na utoto mwingi hna hakuna ubunifu Kama zamani. Nimetolea mfano wa hiyo kazi inaitwa KUBWA KULIKO na kazi nyingine za akina mkojani yaani ni utoto tu ndani yake.
🤣🤣🤣🤣Hawa jamaa miaka kama 12 sijawahi waangalia siku za Hivi karibuni nilitumiwa picha na wife akisema hili ni jini la bongo movie. Nikajua ni utani wa bibie.
Basi Kwa siku za Hivi karibuni nikasema Wacha Nami nishuhudie vioja Hivi vya bongo movie asee niliishia kulala tu hamna ujuzi wowote uliongezeka zaidi ya kupoteana na kupoteza mvuto kabisa.
Ile tamthiliya sikuijua hata jina japo waingizaji au waandaji wote ni wazoefu mle lkn kinachofanyika hakieleweki.
Zamani kwenye miaka ya 2007.... Ray kigos na Steve kanumba walikuwa wanafanya vizuri kweli.
Tamthiliya kama
More than pain
White maria
Big daddy
Uncle JJ
Magic house
Oprah
Dar to Lagos
Nk ..hizi Hadi waleo Huwa najikumbushia hakika huyu jamaa alikuwa anajua haswaa.
Pamoja na kukaa muda mrefu kwenye game walioachwa haajajifunza kitu.
Hii ndio picha niliyo tumiwa na wife akidai ni jini aliona kwenye tamthiliya kwenye bongo movie.View attachment 2838222
unyama mwingii...alafu wanakuja kulalamika hatusapoti kazi zaoNoma sana
Tangu zamani walikuwa hovyo sema kipindi hicho tasnia ilikuwa mpyaHawa jamaa miaka kama 12 sijawahi waangalia siku za Hivi karibuni nilitumiwa picha na wife akisema hili ni jini la bongo movie. Nikajua ni utani wa bibie.
Basi Kwa siku za Hivi karibuni nikasema Wacha Nami nishuhudie vioja Hivi vya bongo movie asee niliishia kulala tu hamna ujuzi wowote uliongezeka zaidi ya kupoteana na kupoteza mvuto kabisa.
Ile tamthiliya sikuijua hata jina japo waingizaji au waandaji wote ni wazoefu mle lkn kinachofanyika hakieleweki.
Zamani kwenye miaka ya 2007.... Ray kigos na Steve kanumba walikuwa wanafanya vizuri kweli.
Tamthiliya kama
More than pain
White maria
Big daddy
Uncle JJ
Magic house
Oprah
Dar to Lagos
Nk ..hizi Hadi waleo Huwa najikumbushia hakika huyu jamaa alikuwa anajua haswaa.
Pamoja na kukaa muda mrefu kwenye game walioachwa haajajifunza kitu.
Hii ndio picha niliyo tumiwa na wife akidai ni jini aliona kwenye tamthiliya kwenye bongo movie.View attachment 2838222
Kwani mkuu jini huwa linafananaje tuanzíe hapoHawa jamaa miaka kama 12 sijawahi waangalia siku za Hivi karibuni nilitumiwa picha na wife akisema hili ni jini la bongo movie. Nikajua ni utani wa bibie.
Basi Kwa siku za Hivi karibuni nikasema Wacha Nami nishuhudie vioja Hivi vya bongo movie asee niliishia kulala tu hamna ujuzi wowote uliongezeka zaidi ya kupoteana na kupoteza mvuto kabisa.
Ile tamthiliya sikuijua hata jina japo waingizaji au waandaji wote ni wazoefu mle lkn kinachofanyika hakieleweki.
Zamani kwenye miaka ya 2007.... Ray kigos na Steve kanumba walikuwa wanafanya vizuri kweli.
Tamthiliya kama
More than pain
White maria
Big daddy
Uncle JJ
Magic house
Oprah
Dar to Lagos
Nk. Hizi Hadi waleo Huwa najikumbushia hakika huyu jamaa alikuwa anajua haswaa.
Pamoja na kukaa muda mrefu kwenye game walioachwa haajajifunza kitu.
Hii ndio picha niliyo tumiwa na wife akidai ni jini aliona kwenye tamthiliya kwenye bongo movie.
View attachment 2838222
Hii ni kwa watu wengi maarufu, wanaamini wao ni special kuwa pale walipo, ni tatizo la kisaikolojia zaidi, wanapoteza vitu vingi sana kwa Hiyo mindset Yao, kuna watu wana story Kali mno, creative na talented kuliko wao lakini kukosa elimu, exposure ni tatizo.Watafute story writers wakali
Watafute script writers wakali.
Selection ya wahusika na uhusika wao (kuna mtu anapewa role ya kuplay mpaka unashangaa walikosa mtu sahihi au ni uelewa mdogo kwa anayefanya hii selection?[emoji848])
Budget.....Hapa ipo sehemu mbili, Budget ya movie na Budget za kununulia story....... (kama hawana watafute sponsors iwe ni nje au ndani ya nchi....kuna watu mpunga wanao na hawana pa kupeleka)
Kuna dada nilikutana naye akawa ananipa details za baadhi ya watu maarufu ambao wamemtapeli story zake na wamegoma kumlipa halafu anaona idea zake zinatumika kwenye movies zinazo rushwa live nilichoka.
Mtu kama Ray Kigosi anaweza kuwa moja ya watu ambao wanajua kuplay role wanazopewa kwa 100% huwa hakosei ila anaplay hiyo role kwa story ipi?
NB
Hata dialogue zinazowekwa kwenye story nyingi hazivutii kuziangalia mara mbili mbili.....Dialogue inaweza ikaifanya movie kuwa kali sana kama na story yake ni kali.
Kanumba alionekana kuwa beast kwenye industry kwa sababu jamaa alikuwa ni story writer hatari sana na alikuwa anajua hasa kuchagua actors sahihi na role ambazo wanatakiwa kuplay kitu ambacho kimewashinda wengi kwa sasa.
Kuna mengi sana ya kukaa kushauriana ila nani atakusikiliza? Wakubali kushauriwa na kupata ideas kutoka kwa watu ambao wapo nje ya zone yao sometimes.
Kuna actor mmoja niliwahi kumfuata nilikuwa na story moja kali mno na nilitaka nimpe bure kabisa .....nikashangaa kumbe inatakiwa nianze kubembeleza sana ndipo nisikilizwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilibaki namshangaa.
Nilikaa naye kwa dakika 5 kuongea naye honestly kwa maelezo yake yalivyokuwa sikuwahi kurudi tena.
KUNA MUDA SANAA NI TAALUMA sio tu OCCUPATION.....watafute wataalamu wawasaidie
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kuna Ile clip ilitembea sana mitandaoni majambazi yanavua viatu kwanza ndo yaingie ndani [emoji23][emoji23][emoji23]bongo muvi nyoso sana
jambazi linapigwa risasi likiwa linaendesha pikipiki
linashuka kwanza linaweka stendi eti ndo linaanguka linaanza kutupatupa miguu
eti linakata roho.............pumbavuu
Uko sawa lkn wao ndo wameifanya kupoteza mvuto Kwa watazamaji.tatizo la budget linachangiwa na mauzo mabovu, TZ tulitakiwa tuwe mbali sana kwenye hii tasnia, sote tunahusika kwenye haya matatizo kuanzia watengenezaji wa filamu, serikali pamoja na sisi raia.
Upo sawaHii ni kwa watu wengi maarufu, wanaamini wao ni special kuwa pale walipo, ni tatizo la kisaikolojia zaidi, wanapoteza vitu vingi sana kwa Hiyo mindset Yao, kuna watu wana story Kali mno, creative na talented kuliko wao lakini kukosa elimu, exposure ni tatizo.
Hizi hizi unazo kandia Kuna wengine huko wanaona burudaani na wanazifurahia. Watu hawafananiHawa jamaa miaka kama 12 sijawahi waangalia siku za Hivi karibuni nilitumiwa picha na wife akisema hili ni jini la bongo movie. Nikajua ni utani wa bibie.
Basi Kwa siku za Hivi karibuni nikasema Wacha Nami nishuhudie vioja Hivi vya bongo movie asee niliishia kulala tu hamna ujuzi wowote uliongezeka zaidi ya kupoteana na kupoteza mvuto kabisa.
Ile tamthiliya sikuijua hata jina japo waingizaji au waandaji wote ni wazoefu mle lkn kinachofanyika hakieleweki.
Zamani kwenye miaka ya 2007.... Ray kigos na Steve kanumba walikuwa wanafanya vizuri kweli.
Tamthiliya kama
More than pain
White maria
Big daddy
Uncle JJ
Magic house
Oprah
Dar to Lagos
Nk. Hizi Hadi waleo Huwa najikumbushia hakika huyu jamaa alikuwa anajua haswaa.
Pamoja na kukaa muda mrefu kwenye game walioachwa haajajifunza kitu.
Hii ndio picha niliyo tumiwa na wife akidai ni jini aliona kwenye tamthiliya kwenye bongo movie.
View attachment 2838222
[emoji23][emoji23][emoji23]Of coz ni jini.
We ukimkuta ghetto kwako huyo haukimbii?
Jini Hilo[emoji38][emoji38]Hiyo mbona kama picha ya mwehu mmoja tu hivi